
SHEREHE HIYO ITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27/11/2010 KUANZIA SAA 17:00 HADI MAJOGOO.
MAHALI:
33 PYATNITSKAYA ULITSA,
119017,
MOSCOW.
RUSSIA
WOTE MNAKARIBISHWA
GOD BLESS CCM, GOD BLESS TANZANIA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yani ninyi mpo ughaibuni lakini bado mna fikra mgando. tafuteni pesa wacheni mawazo ya kujipendekeza, kama mnataka vyama njooni huku mje kuwa makatibu wa chama ngazi za mashina, kata na wilaya.
ReplyDeleteMichuzi wacha kubania watu comments zao. Mimi nilikuomba jana unipostie comment kwamba sisi CHADEMA pia tuna sherehe siku hiyo ya kumpongeza Dr Slaa kwa ushindi mnono in the absence of kuchakachua. Sasa mimi ninachotaka ni kupata namba ya katibu wa CCM Mosco ili tupange maana wageni ni almost the same (Watanzania)
ReplyDeletemasahihisho kwa tangazo la moscow uchaguzi umefanyika mwishoni mwa october na sio november je sasa huu ni mwezi gani?
ReplyDelete