Je wewe ulishawahi kusoma KASITA SEMINARY?
Kama jibu ni ndiyo, basi unakaribishwa katika mkutano wa wana Kalvari Sion Tabon (KASITA) unaotarajiwa kufanyika siku itakayotajwa hapo baadae.
Kwa mawasiliano na mwaliko tafadhali wasiliana na waandaaji wafuatao

Mr.Filbert Kiyenyeo - 0774 277775
Mr.James Mhala - 0786/0655 527592
Mr.Alfred Nkunga - 0785 277775

Upatapo ujumbe huu mjulishe na Mwana KASITA aliye karibu nawe.
Nyote Mnakaribishwa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Aisee hongereni sana kwa wazo hilo,james mhala na Alfred mkunga kama nawakumbuka sana,na je kwa watu wa nje tutapate ajenda?mtanisaidia dondoo kupitia fchikungua@yahoo.com.
    Mzee Chikungua!

    ReplyDelete
  2. Nyie wanaKASITA, mbona wabaguzi? Mnaalikana wenyewe sio? Mmetusahau sisi wa Machipi (Ifakara Sekondary School)?

    Mlikuwa mkishinda pale Machipi (kama vile ni wanafunzi wa pale) huku mkidoea DADA ZETU!!! Acheni hizo tualikeni na sisi x-IFOZA

    X-Ifakara Student

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...