Libeneke la Alumni Tshirts na vikombe bado vinapatikana
Ankal, Siku zote huwa napenda sana kujitambulisha kwa shule
niliyosoma. Hiyo ni ngumu, lakini angalau kwa chuo nilichosoma basi
(Alumni). Ili wenzangu wanitambue na mimi niwatambue. Nafasi yangu
iwepo katika jamii hii kubwa ya Kitanzania. siku za hivi karibuni
nimeona kuna Tshirt na vikombe vya chuo nilichosoma, nikaona ninunue
maana itanitambulisha na kwa wengine.
Na we ankal na wengine mkitaka
hiyo tumeni email na namba ya simu hapa nanyi mtapata kama mimi,
unasema tu chuo ulichosoma na wewe utapata Tshirt na kikombe cha chuo
hicho. Na huu ni msimu wa mahafali ni vizuri tukasherekea na tshirt
ya chuo ulichosoma. Tshirts zote ni POLO (FORM SIX) FIRST GRADE, NA
NI TSH 12,000
HI OFFER KWA AJILI HUU NI MSIMU WA NONDOZ
vyuo vyote vipo hapo, juu ni mfano tu

Namba ya simu ni 0713217913 au email:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hi!! kama niko nje ya nchi je ni rahisi kupata?na gharama yake bei gani...asante

    ReplyDelete
  2. Michuzi please hakikisha ujumbe unafikia walengwa.Napeleka malalamiko yangu kwa chuo cha Mzumbe.Hali si nzuri wanadhibiti wanachuo wao kutolalamikia haki yao.
    Wanachuo wanamaliza mwaka wa masomo huku bado wanadai pesa zao.hali si nzuri kwa sababu kuna wanetu wa kike na mayatima wanategemea mkopo.sijui inakuwaje wanafunga huku bado wanadai serikali na wanatakiwa kufungua huku hawajapatiwa pesa waishije?? jamani tutadhani tunazalisha wataalamu kumbe tunaandaa makahaba kwani serikali inawafanya wajiingize kwenye vitendo hivyo.chuo hakirekebishi mambo yake.tusifumbe macho tukadhani hali ya watoto wetu hatuijui wanalazimisha watoto kuregister chuo huku hawajui wataishije hapo chuoni.kwani chuo hakina mawasiliano na bodi kuhakikisha pesa zinaingia kwa wakati?inakuwaje mtoto anamaliza mwaka wa masomo huku akidai pesa?kwani hapo accounting inakuwaje baada ya hapo?
    mbona mtoto wa chuo amebadilika kuwa ombaomba anasoma kama yuko primary inakuwaje?tunaomba wahusika wafuatilie swala hilo la sivyo hali ni mbaya wanachuo wakuwa ombaomba.

    please michu ikiwezekana niwekee juu tafadhari ujumbe ufike kwa walengwa.

    Mola akuzidishie kwa kazi nzuri saaana.

    ReplyDelete
  3. Michuzi tunashukuru sana kwa kumwezesha huyu ndugu kupost hizi product zake. kinachonipa shida ni huyu bwana kama anafaham suala la (haki miliki) intellectual property rights kuanza kuchapa Tshirt za vyuo bila hata kukubaliwa na vyuo hivyo ni hatari kwake. Ni vizuri afuate taratibu ili suala ili lisimletee shida mbioni pia jujumbe huu uwafikie na wengine wanaofanya hivo

    asante michuzi

    ReplyDelete
  4. huyu mdau ni wa siku nyingi na ana rights zote tumsupport kwa kununua hizo products

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...