Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo, alipokuwa akielekea Nchini Botswana kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Viongozi wa Nchi Jumuiya Wanachama wa SADC pamoja na ufunguzi wa Ofisi ya Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika kesho Nchini humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...