Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa LAPF inayogharimia ujenzi huo, Eliud Sanga wakati alipokitembelea Chuo hicho.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Chuo Cha Serikali za Mitaa cha Hombolo wakati alipokitembela leo. Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Maimuna Tarishi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HONGERA SANA BW. SANGA NA TIMU YAKO NZIMA YA LAPF KWA KUKISAIDIA CHUO CHA HOMBOLO!

    ReplyDelete
  2. LAPF PENSIONS FUND MPO JUU SANA KAMA VISSION YENU INAVYOSEMA TO BE THE MOST PREFFERED PENSIONS FUND IN TANZANIA, NAONA PIA ASSETS ZENU ZINAKUA KWA KASI SANA PLUS ATTRACTIVE PENSION FORMULA,SISI WADAU WA VYUO VIKUU VYA IFM,MZUMBE,UDOM NA UDSM TUNAWAKUBALI SANA KWANI MNATUONYESHA KIASI GANI TUKO PAMOJA,UWAZI WA HESABU NA PIA UWAZI WA UWEKEZAJI NA TUMESHUKURU UJIO WA REGULATOR ANAE RUHUSU WATU KUCHAGUA MFUKO WANAOTAKA KUCHANGIA BIG UP DADA IRENE KISSAKA(KUMBUKA TULIKUWA PAMOJA NSSFULIPOANZA KAZI KAMA INVESTMENT OFFICER SASA UNAONGOZA IDARA NYETI KAMA IYO)...

    MDAU TOKA SSRA.
    GIRAMBO

    ReplyDelete
  3. alafu kuna watu wanasema kikwete hajafanya kitu,hayo yote matunda ya serikali yake.kuanzia udom mpaka huko,viva JK,viva TZ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...