Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimu wananchi wa mkoa wa Dodoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo Nov 10, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asli ya Kabila la Wagogo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa mjini Dodoma leo Nov 10, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu.

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimu wazee wa mkoa wa Dodoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo Nov 10, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na wazee wa mkoa wa Dodoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo Nov 10, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu.
Picha na Muhidin Sufiani




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...