Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe Sophia Simba akisalimiana na Watumishi wa wizara hiyo wakati yeey na Naibu Waziri Mhe.Ummy Ali Mwalimu waliporipoti kazini leo.
Katibu Mkuu Bw.Hussein Kattanga akiwabrifu Waziri Mhe. Sophia Simba na Naibu Waziri Mhe.Ummy Ali Mwalimu baada ya kuripoti kazini leo
Waziri Mhe. Sophia Simba akiwa ofisini kwake tayari kuanza kazi
Mhe. Ummy Ali Mwalimu, Naibu Waziri akisaini
kitabu cha wageni ofisini kwake mara tu baada ya kuripoti kazini leo





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Yakhee kumbe bara ushungi wawekwa kando ati!!!

    ReplyDelete
  2. Malkia wa Nyuki, TaboraNovember 29, 2010

    Hongereni Mawaziri wetu na jiandaeni kwa SEMINA ELEKEZI itakayofanyika wakati wowote kwenye wiki ya pili ya Dec, 2010.

    ReplyDelete
  3. samahani Mheshimiwa Sohia Simba hana PA (Personal Assistant) wakumbebea pochi au wa kuiweka pembeni? maana naona ipo mezani hapo......

    ReplyDelete
  4. yani mheshimiwa simba hazeeki, toka nimwone mara ya mwisho kama miaka 11 iliyopita bado yuko vile vile... hongera sana kwa kupata nafasi ya uwaziri.

    ReplyDelete
  5. Sofia Simba ni jimama la nguvu duh! wallahi ni mzuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...