Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. John Zefania Chiligati (kushoto) akimkabidhi nyaraka mbalimbali za kutendea kazi Waziri mwenye dhamana hiyo Mh. Prof. Anna Tibaijuka. Makabidhiano hayo yalifanyika mara baada ya Mh. Tibaijuka kuingia ofisini jana tangu aapishwe. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara Mh. Patrick Rutabanzibwa.
Mh. Chiligati akikabidhi Ilani ya CCM kwa Mh. Tibaijuka ili kutekeleza kwa ukamilifu ahadi za chama hicho kwenye sekta ya Ardhi

Mh. Chiligati akikabidhi Hotuba ya bajeti ya Wizara kwa mwaka 2010/2011 kwa Mh. Tibaijuka ili kufutalia utekelezaji wa ahadi za Serikali zinatekwelezwa kikamilifu na Wizara anayoingoza.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Anna Tibaijuka, (wa Pili kutoka kulia upande wa walioketi) akiwa pamoja na Waziri aliyemaliza muda wake Mh. John Chiligati (kulia kwake), wakurugenzi na wakuu wa Vitengo mara baada ya makabidhiano ya ofisi. Wengine (walioketi) ni Naibu Waziri wa Wizara Hiyo Mh. Goodluck Ole Medeye (kulia kwa Mh. Chiligati), Katibu Mkuu Bw. Patrick Rutabanzibwa (wa kwanza kulia) na Naibu Katibu Mkuu Bibi Maria Bilia ( wa kwanza kushoto) Picha na mdau Rehema Isango
wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...