MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO : BUKOBA MJINI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 117 0.35%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 15,410 46.56%
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 117 0.35%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 15,410 46.56%
DR. SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 16,604 50.16%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 449 1.36%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 14 0.04%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 14 0.04%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 9 0.03%
SPOILT VOTES 482 1.46%
TOTALS 33,099 100.00%
----------------------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO : MTWARA MJINI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 161 0.54%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 18,087 61.04%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 4,415 14.90%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 6,198 20.92%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 56 0.19%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 77 0.26%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 33 0.11%
SPOILT VOTES 604 2.04%
TOTALS 29,631 100.00%
-----------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO : TUMBE
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 33 0.40%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 633 7.64%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 59 0.71%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 7,021 84.71%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 127 1.53%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 36 0.43%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 45 0.54%
SPOILT VOTES 334 4.03%
TOTALS 8,288 100.00%
----------------------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO : KOROGWE MJINI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 110 0.75%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 10,761 72.98%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 3,135 21.26%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 394 2.67% RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 19 0.13%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 5 0.03%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 6 0.04%
SPOILT VOTES 316 2.14%
TOTALS 14,746 100.00%

-------------------------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO : KONDE
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 20 0.27%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 775 10.58%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 45 0.61%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 6,181 84.35%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 66 0.90%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 21 0.29%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 27 0.37%
SPOILT VOTES 193 2.63%
TOTALS 7,328 100.00%
---------------------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO: BABATI MJINI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 121 0.58%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 12,699 60.71%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 7,582 36.25%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 102 0.49%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 20 0.10%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 15 0.07%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 11 0.05%
SPOILT VOTES 366 1.75%
TOTALS 20,916 100.00%
---------------------------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO: MGOGONI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 22 0.30%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 696 9.54%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 50 0.69%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 6,044 82.84%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 79 1.08%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 23 0.32%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 27 0.37%
SPOILT VOTES 355 4.87%
TOTALS 7,296 100.00%
-----------------------------------

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO : NJOMBE KUSINI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 250 0.83%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 22,337 74.43%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 6,848 22.82%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 80 0.27%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 32 0.11%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 12 0.04%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 36 0.12%
SPOILT VOTES 416 1.39%
TOTALS 30,011 100.00%
---------------------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO JIMBO: SINGIDA MJINI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 93 0.36%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 19,246 73.64%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 5,266 20.15%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 922 3.53%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 21 0.08%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 24 0.09%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 22 0.08%
SPOILT VOTES 542 2.07%
TOTALS 26,136 100.00%
---------------------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO JIMBO: MICHEWENI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 34 0.41%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 1,561 18.67%
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 115 1.38%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA CUF 5,674 67.85%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 198 2.37%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT TLP 64 0.77%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA UPDP 98 1.17%
SPOILT VOTES 618 7.39%
TOTALS 8,362 100.00%

JK kama kawaida ya CCM anachukua tena urais..Mungu ibariki Tanzania na watu wake....atuzidishie amani na upendo kwa watanzania wote.Amen.
ReplyDeleteAcha kuchochea fujo.Matokeo bado,wewe sio mwana-ccm.CCM tunasubila na tunakubali matoke.
ReplyDeleteNimeamini JK watu wanakunda!! Tuliambiwa wasaidizi ndio wanaokupotosha, Bunge likawapunguza wakati wa 'reshuffle" ya mgogoroumeme! Bado wazembe wakaendelea, wana-CCM wakawapunguza wakati wa kura za maoni!!
ReplyDeleteSasa kwenye kura wazembe wengine wanaendelea kupunguzwa!! Kweli wananchi wanakusaidia, ila sasa kuna wanaotaka kukuharibia. Kipindi chako JK kimekuwa na uhuru ambao haujawahi kutokea tangu nchi hii iwe huru. Nchi huru haikuwa na uhuru hapo awali!!
Tuamini sisi wananchi, tutazidi kukusaidia mpaka hapo utakapokabidhi madaraka kwa atakayekufuatia (sooner or later).
TANZANIA KWANZA!!!!!
michuzi weka kwenye xl sheet kaka ilituone namba vizuri
ReplyDeleteNimeamini JK watu wanakupenda!! Tuliambiwa wasaidizi ndio wanaokupotosha, Bunge likawapunguza wakati wa 'reshuffle" ya mgogoroumeme! Bado wazembe wakaendelea, wana-CCM wakawapunguza wakati wa kura za maoni!!
ReplyDeleteSasa kwenye kura wazembe wengine wanaendelea kupunguzwa!! Kweli wananchi wanakusaidia, ila sasa kuna wanaotaka kukuharibia. Kipindi chako JK kimekuwa na uhuru ambao haujawahi kutokea tangu nchi hii iwe huru. Nchi huru haikuwa na uhuru hapo awali!!
Tuamini sisi wananchi, tutazidi kukusaidia mpaka hapo utakapokabidhi madaraka kwa atakayekufuatia (sooner or later).
TANZANIA KWANZA!!!!!
Namhurumia huyu "mkekereketwa" aliyeapa (au aliapishwa?) akiwa mdogo kuwa "... naapa naahidi mbele ya chama, mapinduzi nitakulinda mpaka kufa" kuwa bado anaamini (au anaaminishwa?) kuwa JK analikuwa anapotoshwa na wasaidizi wake wake hata yeye (JK) hajui kwa nini watu wake ni maskini. Tuache ushabiki wa chama hapa hata kama tuliapa tukubali mabadiliko chanya
ReplyDeleteKweli CCM and Nec ni Mafias, yaani wamei craft hii results in such a way that they split the vote between Lipumba and Slaa, who has voted for Lipumba?
ReplyDeleteNEC WAPOST MATOKEO KAMA YANAVYOKUJA NA SIO KUNGOJEA TU YA CCM PALE WALIPOPATA KURA NYINGI NA KUWATANGAZA NA KUACHA VYAMA VINGINE AMBAO TUNAJUA MAJIMBO YAO WALIYOSHINDA TANGU JANA. KUACHA HIVI INATUPA HISIA MBAYA KUWA CCM MNANGOJEA NAFASI YA KUCHAKACHUA! UZOEFUU UMEPITWA NA WAKATI.MUWE MAKINI NA PIAMUWE FAIR KUTANGAZA KWA WAKATI.
ReplyDeleteBinafsi nimefurahia sana kuona wapinzani wakiongezeka bungeni kuliko wakati mwaingine wowote katika historia ya Tanzania huru.
ReplyDeletePili, nafikiri kazi aliyofanya mwaenyekiti wa NEC kwa sasa inatosha anahitaji kupumzika kulingana na umri alionao kwa sasa.
Nkyabo - Bongo
........Hapo zitachangwachangwa na kuchachuliwaa! piga ua JK atashinda kati ya asilimia 76% au 78% wote mtashuhudia ndani ya blog hii!
ReplyDeletemwacheni atakayepita na apite maana mungu ndiye kamchagua na siyo kukashfu, halafu kama huyo aliyeandika barua ya kumtusi Kikwete ni masikini wa fikira, maana anamtusi lakini hajui kuwa huyo ndiye atakayemuongoza kwa muda wa miaka 5. kwani yeye anaishi tz ip? eti mpaka anasema kutakuwa na umwagikaji wa damu, kama anaona binadamu ni kama kuku amwage damu za familia yake maana ndo zao wakurya, siyo kutishia maisha ya watu wengine. na mwaka huu mtaona mlidhani mtamng'oa imekula kwenu, tulieni matokeo yatangazwe rasmi hata kama asipopita Kikwete kwani mna haraka za nini? au mnataka watangaze bila kupata idadi ya kura?
ReplyDelete