Home
Unlabelled
SEHEMU YA MATOKEO YA UBUNGE HADI MUDA HUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Takwimu hizo ni uongo mtupu....wizi kama kawaida
ReplyDeleteWAONGO WAKUBWA HAO, ARUSHA JE? NA NYAMAGANA? NA IRINGA MJINI? NA ILEMELA? UBUNGO JE? MPAKA WACHAKACHUE!
ReplyDeleteHicho kiti kimoja cha Chadema ndio kile cha Rombo?
ReplyDeleteWACHENI WIZI WENU, NYIE TBC NI WA CCM TUNAJUA, LAKINI HIZI DATA NI ZA UONGO. SHAME ON YOU
ReplyDeleteCCM ina wapambe mbalimbali wanaocheza na akili za watu tu. kama wewe michuzi na TBC yenu. yaani wameanza kutangaza kwenye ngome za CCM tu ili kuwavunja mioyo watu wajue kwmba Chadem inashindwa.Dar es Salaam hii kuna umbali gani wa kura kuchukua masaa 24 kuhesabiwa kweli.Hata kama mtashinda mjue kwamba watu hawaitaki CCM
ReplyDeleteNaona blog ya Jamii imeshindwa kazi this time. Hiyo kambi mliopiga hapo NEC naona haiwajibiki.
ReplyDeleteMsilaumu kuwa ni takwimu za uongo, ila usanii upo kwenye jinsi ya mtiririko wa kutoa matokeo.
ReplyDeleteUnaanza kuripoti sehemu unayotaka kuonesha ushindi ili ku-influence perception za watu.
Akili kichwani!!
Matokeo yanayotangazwa ni yale walikoshinda CCM pekee. Walikoshinda wapinzani matokeo yote yamezuiliwa!!!! This is wrong! Tume ya uchaguzi isije ikaleta uvunjifu wa Amani>!!!
ReplyDeleteMichuzi muulize JK maswali haya.
ReplyDelete1. Muheshimiwa Raisi, wanazuoni wengi na wasomi ambao ndio wenye upeo mpana zaidi wa kuchanganua mambo wameonekana kuipinga CCM na utendaji wao. Je hilo tulitafsiri kwamba CCM inategemea mtaji wa wenye upeo mdogo ili ishinde uchaguzi?
2. Mheshimiwa ulivyoingoa madarakani mwaka 2005 ulishinda kwa kishindo na ulipata upinzani mdogo sana. lakini mwaka huu ukiwa unarenew ndio upinzani umekuwa ukali zaidi. hiyo ni tofauti na Mtangulizi wako Mkapa. je hiyo ina maana umechemsaha kwenye uongozi wako au wewe sio chagua la watu tena.
wewe anonymous 04.25pm kama unabishana na statistics nenda kanunua sumu ufe!!!!!
ReplyDeleteWazee wa kuchakachua (CCM) this Time hawawezi....Wanatangaza ya UNGUJA tu ili wachakachue ya HUKU BARA. This time watachemka.
ReplyDeletewadau nendeni jamii forum kun utamu sasa hayo matokea hapo juu yamekaa aje bora usingeweka tu kieleweke
ReplyDeletewe Michuzi, hivi kweli unafanya kazi ki-professional au kama kibaraka wa CCM? Ni aibu kuona ukiwasaliti wananchi kwa kuwa bias kutokana na hivyo vijisent ccm wanavyokupa. You are a traitor, ogopa Mungu.
ReplyDeleteMichuzi fanya faster tuletee matokeo, achana na walevi kama mtu hataki matokeo ahamie Rwanda
ReplyDeletesomeni alama za nyakati tb na michuzi sio mnaweka walikoshinda mabosi wenu2 mbona hamtuwekei iringa, ubungo, mbeya na kwingineko ambako ccm imeachwa mbali kabisa ambako
ReplyDeleteha ha ha ha jamaa wameanza na majimbo yao jamaa wabaya sana.laana ya mwenyezi mungu itawafikia tu.
ReplyDeleteKaka michu - coverage yako ya uchaguzi kwenye blog hii ya jamii ina chechemea sana.
ReplyDeleteHabari ninazo zipata mimi ni kwamba CCM ipo taabani sana, Arusha JK kaachwa mbali sana. Mbunge Wasira kapigwa chini jimboni kwake kakataa kusign form ya matokeo.
Mimi mdau napata nyepesi nyepesi
We michuzi wewe, tembelea kahama na mbeya ushangae na roho yako.
ReplyDeleteacheni jazba jamani, mbona mnakua kama watoto wadogo!? mnalilia pipi wakati hamjui mzee anafikiria dona?!
ReplyDeleteMakubwa!!
Subi
Ndugu yangu itabidi ubadilike sasa, acha stori za kulamba miguu wakubwa. Punguza utwana (punguza stori za wafalme, wake zao, watoto wao, nyumba ndogo zao, etc.) TUONGEE TANZANIA na WATANZANIA. Ushauri wa bure
ReplyDeleteJamani msimlaumu Kaka Michu, yeye mjumbe tu na mjumbe hauwawi.
ReplyDeleteKaka michu ninaheshimu uhuru wako wa habari. Kwa hilo wala sina wasiwasi najua wakati ukifika utatoa tu taarifa.
Keep us informed
kwa kweli hamna mahali nimecheka leo kama kule jamii forum, yani wanajiachia vilivyo, wadau kule wamekata kamba.
ReplyDeleteMichuzi si kawaida yako kuachia wadau kutoa maoni bila wewe kubania...inaelekea NEC imeshakuhakikishia kuwa Jakaya kalamba dume ndio maana huminyi comments!
ReplyDeleteWatanzania sijui mnataka nini ?? mkishindwa ooho tumeibiwa..hamuishi kulalamika eehe ndio chadema hao...wao wanafikiri ni wao tu wanapiga kura.. Kama hamna imani na NEC basi muame TZ, nendeni Kenya.
ReplyDeleteChadema bado changa, wengi wenu mnatoka mikoa ya kaskazini...chaga na Arusha. Sasa mlifikiri sasa hivi mtafanya biashara ikulu?? Eisee Mbowe ni waziri baba angu!! mnajifanya mna uchungu na nchi wakati nyie ndio mliotaka wakoloni wabaki kwa maslahi yenu ...Sasa nendeni mkashtaki Vatican!!
Mnaboa...matoke yanatangazwa na NEC, nyie mmeshaanza kutangaza matokeo mnayotaka nyie. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
Kama hutaki kuangalia TBC, funga kitv cahko, subiri habari unazopenda "Tanzania Daima". Ndio mimi ni CCM, sasa wewe inakuuma nini??? Wewe ni chadema kaa na chadema yako!!
ReplyDeleteWewe unayejifanya una data kuliko NEC, usijiabishe...Chadema nacho ni chama au Slaa ndio chadema...Yani kila mchaga anashabikia chadema, hajui hata ni kwa sababu gani. Ndio hapo naona kuna harufu ya ukabila na Udini !!
ReplyDeleteKuuliza JK ameshinda? ni sawa na kuuliza mbege moshi
ReplyDeleteChadema mmeshindwa...fair and square. Lakini nyie kulalamika ni tabia kwa hiyo si shangai!!
ReplyDeleteChadema, nendeni JF mkadanganyane...
ReplyDeleteMsimamo wapinzani:
ReplyDelete1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
Results:Saa 3 usiku 01/nov/2010.