Naibu Waziri wa ujenzi Mh. Harrison Mwakyembe
na familia yake baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar
(wa pili kulia) akiwa na fanilia baada ya hafla ya kuapishwa
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na msjiri wa vyama Jaji
Wadau waliohudhuria sherehe hizo wakipiga picha ya pamoja
akimpongeza Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta
Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya na
baadhi ya wanafamilia
Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Philemon Luhanjo (kati)
akiwa na baadhi ya mawaziri wapya
Sasa tuache sherehe za kupongezana tuanze kazi.
ReplyDeleteDk. Fenella Mukangara, I salute you mama. By FUSP Benerficiary
ReplyDeletepicha ya nne kati jamani michu kwani mi nimesemaje??
ReplyDeletekwa kupeana na maua kwa mazuri gani ambayo yapo hiyo ni kazi haina dhamana wajibika kwanza ndio utunikiwe maua na wanainchi
ReplyDelete