
MDAU WA MILIONI 10 KATIKA GLOBU YA JAMII ANUKIA NA MAMBO YAKIENDA SAWA INSHAALLAAAH KABLA MWAKA HAUJAAGA TUTAMJUA. JUHUDI ZA ZIADA ZINAFANYIKA KUTAFUTA SPONSA WA KUMPATIA MDAU HUYO WA MILIONI 10 KIFUTA MACHOZI. PIGA CHABO CHINI KULIA UONE TARAKIMU ZIMEFIKA NGAPI, NA KAMA SPONSA AKIPATIKANA UNAWEZA KUWA MBAHATIKA WA ZAWADI ITAYOTOLEWA.
-MICHUZI
Natakiwa kufanya nini mara ntakapoona mimi ndio mtembeleaji wa mil 10??Tafadhali naomba msaada
ReplyDeletethats very nice uncle
ReplyDeletemshindi anapatikana vp?? fafanua basi ankalii
ReplyDelete