Agenda ya mkutano huu ilikuwa kuangalia na kujadili mafanikio na matatizo mbalimbali yaliyojitokeza kwenye kipindi cha mwaka mzima wa Jumuiya. Watanzania walijitokeza kwa wingi na kuongelea maswala mbalimbali ambayo waliona yatawasaidia kwenye mwaka mpya wa Jumuiya.
Jumuiya ya Watanzania Rome, inapenda kutoa shukrani kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Italy kwa ushirikiano waliouonyesha kwenye kufanikisha mkutano huu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Kwa picha na habari zaidi tafadhali tembelea blog ya Jumuiya hapa:
www.watanzania-roma.blogspot.com.
Haya ni mambo mazuri lakini je kwa watu waishio kama Verona ama maeneo ya Bolzano itakuwaje ? fanyeni marekebisho kuna kitu katika blog yenu hakisomeki vizuri ´ quelli che vivono al di fuori di Roma´Sentensi ina mashaka kwa kuwa AL DI FUORI haikubaliki na pia kuna neno Mensilmente amapo hili ni MENSUALMENTE....hongreni kwa jumui yenu.
ReplyDeletemdau WESTENDE-BELGIE
ndugu mimi Nipo Italy kwa muda wamiaka 30 mjini Cesena..unahakika na maneno ya kitaliano uliyoaandika hapo juu??sei sicuro che la parola mensualmente essiste puo sostituire la parola mensilment in quello frase. Grazie aspetto le risposte!!
ReplyDelete