Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani unapenda kuchua fursa hii kuwakumbusha wanachama wake kuwa kutakuwa na mkutano wa Jumuiya siku ya tarehe 21/11/2010 (Jumapili) katika ukumbi wa Odasaga Plaza (kituo cha treni cha odakyusagamihara) kuanzia saa 12:15 jioni.

Baadhi ya ajenda za mkutano huu ni

1. Kupata taarifa ya mapato na matumizi ya fedha za Jumuiya

2. Kuwajadili wajumbe walipendekezwa kuunda kamati za Jumuiya

3. Kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Jumuiya yetu

4. Na mengineyo

Wote mnaombwa kuhudhuria na kuzingatia muda.

Ahsante:

Uongozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...