Align CenterMkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Abbas Kandoro akimkabidhi Sophia Adson kitita cha shilingi 1,100,000(1.1) mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa upande wa wanawake.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi shilingi 250,000 Sayuda Pigi mara baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya mbio za Vodacom Mwanza cycle Challenge kwa upande wa wanaume walemavu.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi Helena Mwendesha shilingi 400,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake walemavu katika mashindano ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi Richard Laizer shilingi 700,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge,katikati ni Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wadhamini waliodhamini mashindano ya mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge ,Knight support,Pepsi,Alphatel.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...