mkuu wa kitengo cha mupambana na madawa ya kulvya afande Godfrey Nzowa akielezea namna mtuhumiwa Kwaku Sarfo toka Ghana alivyokamatwa na kilo 13 za Heroine uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar Jumapili hii alfajiri
Home
Unlabelled
raia wa ghana adakwa na heroine kilo 13 dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ona hivyo hivyo usiombe yakukute,jamaa ameshika kichwa kama anahuzunika sana na kumuomba Mungu wake na kuomba msamaha sana mbele za Mungu ila ndio ishatokea tena...jamani shida kitu kibaya sana.
ReplyDeleteHuyu mpopo fala sana, kama unataka kuingiza vyombo vingi kama hivi hapa dar inabidi uje na aidha demu au rafiki wa kizungu, na begi lako mwachie mzungu abebe au abuluze. Kwa ulaiii...ni litapita.
ReplyDeletePAMBAFUUU WANAFIKIRI TANZANIA TUMELALA!!WEKA NDANI HIYO JAMAA HARAKA SANA.....
ReplyDeleteOOOOOOOOOOOOOH!!!!!!!!!!!!sasa watamrundika au ni aje?
ReplyDeleteataijuwa segerea
ReplyDeleteAadhibiwe vikali na ataje waliomtuma wa nje na ndani ya Tanzania, balaa mkubwa huyu anatuharibia watoto wetu.
ReplyDeleteKudunduuu kudunduu, kudundu kudundu!!!! ALAJII ALAJIII ALAJIIII!!!!!!!!
ReplyDeleteAtaicheza segerea hiyooo
wee anony wa pili ndio fala eti angepita na mzungu ndio angepita kiulaini. Aliyekwambia wazungu ndio miungu au malaika ni nani. Hata apite nani watu wote lazima search ipite. Mzungu si mtu wa kawaida na tena kama hufahamu wazungu wengi wa bongo wamejichokea tu. Pita na mzungu uone shughuli yake.......
ReplyDelete