

aliyetumia usafiri wa helikopta, ukiacha JK na Dk. Slaa waliogombea urais
wakiwasili mkutanoni kwa chopa
mwisho uliokuwa na nyomi ya maelfu ya watu wapatao 35,000
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tatizo ni uadilifu....gharama za helikopta ni kutoka kwa nani? Kama kapata fedha kihalali hakuna shida, lakini kama ni fedha za ufisadi, tunahitaji maelezo takukuru wameshachukua hatua gani.
ReplyDeletePESA ALZOTUMIA HAPO, ATAZIRUDISHAJE? KAMA SIO UFISADI
ReplyDeleteSasa hakuna aliyemuuliza huyu Mheshimiwa wapi anakotoa mapesa ya kujirusha na helikopta wakati wapiga kura wake wengi hata baiskeli hawana.
ReplyDeleteHii haitii akili, kule wapigakura wake ni wadanganyika! Sasa umuhimu wa helikopta katika kijimbo kimoja ni nini? Ndiyo maana watu wataendelea kuidharau CCM kutokana na mbwe mbwe za waheshimiwa wa CCM kama huyu wenye mikogo wakati raia wengi wako katika dimbwi la umasikini, ambao hata mlo mmoja kwa siku ni matatizo.
Naelewa wananchi bado wanashanga ni vitu kama helikopta na najua wengi katika huo muhadhara wake walikuja kushangaa hiyo helikopta, na wamempa ushindi wakifikiri jamaa yuko juu sana, lakini nawahidi kwamba hapo wameliwa.Miaka mitano hijayo itakuwa migumu kwao na hizi mbwe mbwe za helikopta ni kiini macho tu.
Ninavyowajua warangi na ushamba wao kweli walikwenda kuangalia helikopta. Jamaa amezoa kura kwa ajili ya helikopta tu na si maendeleo ama sera.
ReplyDeleteUkioa Miss basi inabidi umfurahishe. Faraja Kota si nani furahia maisha ya ubunge lakini nawewe ulikuwa uvae KICCM.
ReplyDeleteUkioa Miss basi inabidi umfurahishe. Faraja Kota si nani furahia maisha ya ubunge lakini nawewe ulikuwa uvae KICCM.
ReplyDeleteHahaha Mhe. Nyalandu naona unawaua ma haters...PR yako si Mchezo!! Vijana wa USA naona hawataki kukusikia kabisa. Hongera kwa Ushindi.
ReplyDeletenaomba kuuliza swali jamani, hivi gharama ya kukodisha helikopta ni kiasi gani?
ReplyDeleteannon hapo juu kwa taarifa yako singida si kwa warangi hii inaonyesha jinsi ulivyo mtupu kwa uchache wa kuelewa na mvivu wa kujifunza, ustake usitake amini kuwa watu wamemkubali mhe nyalandu, hongera yake na ww ndio walewale waosha vinywa
ReplyDeleteNamna hii na mimi itabidi nitafute mume mbunge jamani, hivi kuna single aliebaki
ReplyDeleteNilikuwa nataka kumjibu jamaa aliyeuliza hapo kwamba gharama ya kukodisha helucopter ni sh ngapi. Ghearama ni $25,000 kwa masaa 11 kutokana na kwamba sheria za anga Tanzania aziruhusu kusafiri kwa helicopter nyakati za giza.Makao makuu yetu yako Nairobi na tunapokea malipo kwa $ au whatever reflects the $ rate at that particular day.Tuna record nzuri ya usalama. Shukran.
ReplyDeleteBasi Michuzi unafurahia kichizi kuandika hayo matokeo, naona umekolezea kabisa eti jamaa yako Nyalandu amepata 91% na mzalendo wa CHADEMA kapata 7.8%. Ama kweli Bongo inawenyewe na wanaoihodhi mnaifaidi kichizi.
ReplyDeletenikusaidie best unayeuliza wabunge ma 'single', try Joseph Mbilinyi..a.k.a sugu.
ReplyDelete