JK akipongezwa na balozi wa Marekani nchini Mh. Alphonso E. Lenhardt, wakati wa hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda Ikulu Ndogo ya Chamwino, Dodoma
Balozi wa Marekani hapa nchini Mh. Alphonso E. Lenhardt akiongea na Spika wa Bunge la Jamhuri Mh. Anne Makinda kwenye hafla hiyo

Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, akipongezwa na Mbunge wa Kyela Dk. Harrison Mwakyembe kwenye hafla hiyo.
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKILA KIAPO KATIKA IKULU NDOGO YA CHAMWINO DODOMA LEO. JK AKIMPONGEZA WAZIRI MKUU MARA BAADA YA KUMWAPISHA JK KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA, RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI, MAKAMU WA RAIS DK. MOHAMED GHALIB BILAL NA MAWAZIRI WAKUU WALIOSTAAFU MARA BAADA YA KUAPISHWA WAZIRI MKUU PINDA. VIONGOZI WAKUU WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR WAKIONGEA MARA BAADA YA KUAPISHWA WAZIRI MKUU PINDA. LEO JIONI JK ATAHUTUBIA BUNGE NA KULIZINDUA RASMI. PICHA KWA HISANI YA MEDIAWORKS INTERNATIONAL







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hongera sana. ila mbona umelamba suti tena badala ya zile nguo za kiafirica na batiki zile!!!!.
    anyway wish you all the best in your work, the society of tanzanian at large is so proud of you let them see the moon getting to them instead of the hottest sun burning them.

    ReplyDelete
  2. MBONA MSUYA NA WARIOBA HAWAPO?

    ReplyDelete
  3. Hongera Mh. Misengo Pinda. Nakutakia kila la kheri katika kuliongoza baraza jipya la mawaziri linalokuja. All the Best.
    TML

    ReplyDelete
  4. ALL THE BEST MIZENGO PINGA. ONGOZA BARAZA JIPYA BILA UBAGUZI WA VYAMA VYA SIASA. USIWASIKILIZE MAFISADI WASIJE WAKAKUPONZA.

    ReplyDelete
  5. hongera baba, ila nakuomba ongeza ka-ukali kidogo safari hii

    ReplyDelete
  6. WANAWAKE WANAWEZA!!!!!

    ReplyDelete
  7. WAKATI NYIE MMEKALIA HAYO MASOFA JUENI WANANCHI WENU WANAKALIA SAKAFUNI , NA NJAA INAUMA SANA!!

    BANA HII , BUT U CANT STOP US FROM TALKING THE TRUTH

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...