Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea DVD ya Senema inyoonyesha mauaji ya Albino nchini katika Chakula cha jioni cha kuhamasisha ukomeshaji wa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi-Albino kilichoandaliwa na Taasisi ya Under The Same Sun kwenye hoteli ya Movenpick - Royal Palm jijini Dar usiku wa kuamkia leo Watu wenye ulemavu wa ngozi wakiimba pamoja na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Bw. Reginald Mengi katika chakula cha jioni cha kuhamasisha ukomeshaji wa mauaji ya watu wenye ulemavu wa nvgozi-Albino kilichoandaliwa Taasisi ya Under The Same Sun kwenye Hoteli ya Movenpick Royal Palm jijini Dar usiku wa kuamkia leo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kulikoni Jamani siku hizi viongozi wetu kutabasamu wamesahau kabisa. Wanapitia mambo magumu sana inaonekana huko serikalini na kwenye chama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...