Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Bw. Sethi Kamuhanda akikabidhiwa vitabu na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni wa Kiingereza (British Council) Bi. Sally Robinson jana jijini Dar es Salaam. Kituo hicho kilitoa vitabu 200 vyenye thamani ya Shilingi milioni 5 vya fani ya michezo kwa ajili ya Chuo cha Michezo cha Malya kilichopo wilayani Kwimba, Mwanza.
Picha na Concilia Niyibitanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mr michuzi samahanin sana kwa kutoa habari ambayo haihusiani na picha hii, naomba uiweke kwenye blog hii ya jamii kama breaking news!! imeshapita week moja sasa tangu wachina wasimamishe kutoa viza kwa watanzania wanaotaka kwenda china hapa hong kong,watanzania tulikuwa tunakuja hapa hong kong na kuchukua viza ya china lakini kwa sasa hawatoi tena viza sababu haijulikani, kuna tetesi kuwa eti kwa sababu ya asian games inayoendelea katika mji wa guangzhou, eti wageni wamekuwa wengi sana huko china !!! kwa kweli haijulikani sababu ni nini, hivyo pengine wadawa wengine wanisaidie kuwaeleza watanzania wanaokwenda china kupitia hapa hong kong kuwa wasipoteze pesa zao za nauli kuja huku wakitegemea kupata china viza hapa hong kong !!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...