Home
Unlabelled
rais museveni katika sala ya Idd el Hajj leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh hii kali.bora wangempa kiti. lakini safi inaonyesha raisi museveni ni msela tu.big up
ReplyDeleteukitaka pilau sharti ukalie mkeka ati ndio utapata utamu wake yakhe.
ReplyDeleteKwani huyu Museveni ni Muislamu? au alienda kama raisi tu? Naona kofia yake haivui.
ReplyDeleteChaguzi hizi, Museven kuhudhuria Swala ya Idd. Kazi kweli kweli.
ReplyDeleteUchaguzi una vituko hasa!
ReplyDeleteheheeheheee uuuwwiiiii ankali hii picha noma mzee mzima na suti kwenye mkeka afu kama vile yupo tayari kupokea sinia la pilau hahaa jamani siku ingine wamuekee ata kigoda bac he luks veeeere uncomfortable
ReplyDeleteWakati wa Kampeni bwana kila kitu kinawezekana na hata msikitini ataingia tu,kisa apate kura ili ale
ReplyDeleteHuyu Mu7 ni kama kasultani fulani hivi!
ReplyDeletembona hahavaa kofia ya kiislamuuu.
ReplyDeletekavaa ya texas cowboy
ANAONYESHA YEYE NI WA WATU WOOTE (can reach accross the isle)
ReplyDeleteHii safi saana, kama Marehemu Mwealimu JKN. Alivaa joho na kofia na kupewa mimbari.
Ukitaka kujua ni muislamu or sio muislamu , angalia ukaaji wake, miguu imenyoka huyo sio muislmamu.
ReplyDeleteYou want another Rap. sikilizeni BBC rap ilivyozua mambo jamaa yuko tayari hata kushika masikio.(za primary)ili tu aendelee na usultani.makubwaa.
ReplyDeleteAnonymoust wa Wed Nov 17, 08:06:00 PM, hiyo ni "across the aisle", kama sehemu ya kupitia ya kanisani, au bungeni kwa wapinzani. Dini tofauti sio upinzani. Kwa hiyo ni kwamba ana "reach out to other faiths."
ReplyDeletekukaa chini sio mchezo kama hujazowea utadhani anasubiri kupakata mtoto loh! mambo ya kura hayo ndio hata rap nasikia anaimba ,,danganya toto.
ReplyDelete...hiyo inaitwa full option!....jamaa yuko hoi bin taaban! kigoda kinaruhusiwa msikitini na pia wangemshauri nguo za kuvaa ambazo zingemfanya ajiachie! daaah.....pole mheshimiwa!
ReplyDeletesasa hao wapambe wa m7 kwani hawajui hata waislam kwenye sala ya iDD wanavaaje jamani mbona wamemdhalilisha maa angekuwa kwenye kanzu hiyo miguu ingesitirika tu, au aliogopa kuvua hiyo kofia yake?? uongozo wa ulaji kazi kweli kweli!!
ReplyDeleteAu alikurupushwa on the way akaunganisha LOL.
Yaani hiyo picha imenichekesha saaanaa paka mbavu zinauma. Mambo ya kura hayo!!
ReplyDelete