Rais Museveni wa Uganda akiwa katika
Swala ya Idd el Hajj huko Arua leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. duh hii kali.bora wangempa kiti. lakini safi inaonyesha raisi museveni ni msela tu.big up

    ReplyDelete
  2. ukitaka pilau sharti ukalie mkeka ati ndio utapata utamu wake yakhe.

    ReplyDelete
  3. Kwani huyu Museveni ni Muislamu? au alienda kama raisi tu? Naona kofia yake haivui.

    ReplyDelete
  4. Chaguzi hizi, Museven kuhudhuria Swala ya Idd. Kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  5. Uchaguzi una vituko hasa!

    ReplyDelete
  6. heheeheheee uuuwwiiiii ankali hii picha noma mzee mzima na suti kwenye mkeka afu kama vile yupo tayari kupokea sinia la pilau hahaa jamani siku ingine wamuekee ata kigoda bac he luks veeeere uncomfortable

    ReplyDelete
  7. Wakati wa Kampeni bwana kila kitu kinawezekana na hata msikitini ataingia tu,kisa apate kura ili ale

    ReplyDelete
  8. Huyu Mu7 ni kama kasultani fulani hivi!

    ReplyDelete
  9. mbona hahavaa kofia ya kiislamuuu.
    kavaa ya texas cowboy

    ReplyDelete
  10. ANAONYESHA YEYE NI WA WATU WOOTE (can reach accross the isle)

    Hii safi saana, kama Marehemu Mwealimu JKN. Alivaa joho na kofia na kupewa mimbari.

    ReplyDelete
  11. Ukitaka kujua ni muislamu or sio muislamu , angalia ukaaji wake, miguu imenyoka huyo sio muislmamu.

    ReplyDelete
  12. You want another Rap. sikilizeni BBC rap ilivyozua mambo jamaa yuko tayari hata kushika masikio.(za primary)ili tu aendelee na usultani.makubwaa.

    ReplyDelete
  13. Anonymoust wa Wed Nov 17, 08:06:00 PM, hiyo ni "across the aisle", kama sehemu ya kupitia ya kanisani, au bungeni kwa wapinzani. Dini tofauti sio upinzani. Kwa hiyo ni kwamba ana "reach out to other faiths."

    ReplyDelete
  14. kukaa chini sio mchezo kama hujazowea utadhani anasubiri kupakata mtoto loh! mambo ya kura hayo ndio hata rap nasikia anaimba ,,danganya toto.

    ReplyDelete
  15. ...hiyo inaitwa full option!....jamaa yuko hoi bin taaban! kigoda kinaruhusiwa msikitini na pia wangemshauri nguo za kuvaa ambazo zingemfanya ajiachie! daaah.....pole mheshimiwa!

    ReplyDelete
  16. sasa hao wapambe wa m7 kwani hawajui hata waislam kwenye sala ya iDD wanavaaje jamani mbona wamemdhalilisha maa angekuwa kwenye kanzu hiyo miguu ingesitirika tu, au aliogopa kuvua hiyo kofia yake?? uongozo wa ulaji kazi kweli kweli!!
    Au alikurupushwa on the way akaunganisha LOL.

    ReplyDelete
  17. Yaani hiyo picha imenichekesha saaanaa paka mbavu zinauma. Mambo ya kura hayo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...