Mhe. Anne Makinda (Mb)Spika wa Bunge na Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC-PF (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Jukwaa hilo Mhe. Essau Chiviya , wakati wa kikao cha Kamati Tendaji mjini Swakompmund, Namibia tarehe 29/12/2010 baada ya kupitia agenda na maandalizi ya Mkutano wa 28 wa SADC-PF utakaofunguliwa na Rais wa Namibia Mhe, Hifikepunye Pohamba tarehe
Spika Makinda akipokea taarifa ya fedha kutoka kwa mwaka hazina wa SADC-PF Senetor Monica Mutsangwa Mutare (kulia) kutoka Zimbabwe. Picha na mdau Prosper Minja wa Bunge



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani msitumie muundo wa Kiingereza (ambacho hamkijui pia) kwenye Kiswahili. Si "Kamati tendaji" bali ni Kamati ya Utendaji.

    ReplyDelete
  2. KAMA UMEGUNDUA MICHEZO YA CECAFA INAYOENDELEA HAKUNA "WATAZAMAJI" WA KUTOSHA. UWANJA MTUPU, "PROMO.. MBOVU" HASARA INANUKIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...