The Statement of Purpose is also known as Motivational Letter or Statement of Intent. It is a vital tool in your application as it helps a lot when determining whether or not you strong candidate and be given scholarship.

Each scholarship program has its own goals and objectives. Organizations, institutes and governments when sponsoring a certain scholarship program have their own goals and objectives. In other words, there is no “free money” as funders know for sure their mission, goals and objectives set are met by looking suitable candidates.

So when writing the Statement of Purpose, first and foremost is to understand in detail philosophy, goals and objectives of that particular scholarship. Those will help you to go along with funders’ objectives hence suitable for them as they want to use their money appropriately.

Special Note
Bear in mind that many scholarships are intended for people from Developing Countries with hope that after studies those beneficiaries of scholarships will go back to their home countries and work hard to develop their countries using knowledge and skills acquired in those Developed Countries.
The worse mistake you will make in your Statement of Purpose is to say that you will continue to stay there in that Developed Country and live your life. You will be cmpletely wrong since you are not compatible with goals and objectives of that particular scholarship, so you will not be a choice for them.

The video link is
MAKULILO, Jr.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Nimekusikiliza, unajitahidi kuhabarisha na kurahisisha mbinu za watu kuweza kufahamu nini wafanye ili kuweza kupata scholarship. Nimeipenda hii ideo ya kuwa na video maana inaonesha msisito flani kulikoni maandishi tu peke yake. Nimecheki links zingine hapo kwenye youtube.com/makulilofoundation umejitahidi kuweka mambo mengi mno...tafuta promo uwe na website na hizo video nyingi mno

    Mungu akubaliki kwa hilo mzee wa manondozi

    ReplyDelete
  2. this is like teaching kids how to be runaway..You didn't go back and now you are telling people not to be honesty when they apply for this..

    Teaching taifa la kesho kusema ukweli is the right thing to do

    ReplyDelete
  3. hahahah..Sasa mkubwa Makulilo..wewe mwenyewe ulienda America kwa scholarship..umefika huko baada ya kumaliza masomo tulitegemea urudi..uendane na malengo ya scholarship yako......lakini ukaamua kutafuta green pasture na demu wa kizungu ukabaki huko....(well...ulituwekea picha hapa kwa Michuzi za harusi yako...). SASA mkuu huoni kwamba watu kama nyinyi ndo mnahubiri maji na kunywa divai??. Ofcourse una haki ya kuishi popote..so I fully applaud you kwa kutafuta green pastures....lakini usipende kuhubiri yale usiyoyafanya.

    Kuhusu motivational letter..Absolutely you are on the spot...na wote wenye nia njema hawana budi kukushukuru... watu wengi hiyo kitu inawachanganya. Poa mkulu..wewe tafuta life..urudi tulijenge taifa.

    ReplyDelete
  4. Ubora yake makulilo ambaye ameamua kula green pastures huko marekani, kulan hela za wahisani, hahaha kulikoni angebaki hapa na kuanza kula rushwa naye kuwa fisadi tu

    after all, lazima ujue mbinu na mitego, kama ule msemo wa kiswahili kwamba mwenzako akijifanya ana mbinu wewe hakikisha una mitego, na akiwa na mitego wewe kuwa na mbinu, ngoma inakwenda drooooo ya 4-4. Kila sheria ina mianya yake, tumia mianya hiyo ila usiibe ..... au kuchakachua

    ReplyDelete
  5. wewe mdau hapo juu...si ubora yake yeye MAKULILO ameamua kubaki huko ughaibuni lakini mchango wake tunauona kila siku anadondosha infoz za nondozi hapa, na blog na forums zake zimejaa haya mambo na ni bure msaada wake. Hizi video anatumia muda wake na rasilimali zake kusaidia wengine kupata elimu na kutimiza ndoto zao kishule na kimaisha...sasa aje hapa bongo tubaki tunaangaliana naye tu. Kula raha huko ughaibuni makulilo, cha msingi uendeleze kusaidia jamii hivyo hivyo kwa moyo wako wote

    Maisha kuleta maendeleo sio lazima uwepo eneo la tukio, sasahivi dunia kijiji unaweza kusaidia kwa njia ya remote na mambo yakaenda mswano ndugu...hivyo makulilo hana haja ya kuja bongo ndio uone yupo huko...wangapi wamepata kusoma ughaibuni kwa scholarships hawajarudi Tanzania na hawana msaada wowote ule kwa jamii zao? Bora yake kiasi flani anakumbuka hata hizi nondozi awekazo hapa bure

    Makulilo, usikatishwe tamaa na waosha vinywa hawa hawana lao

    Mdau,

    Texas

    ReplyDelete
  6. well done bro,nakupongeza kwa kazi yako!( ila we mtoa maoni hapo juu)yy hajakwambia ufuate alichofanya,,yy kakupa njia za kuweza kupata hyo scholarship!

    ReplyDelete
  7. To those applying for a PhD program in the Big Three (HYP), take heed to the message.
    Asante sana Makulilo, Jr

    ReplyDelete
  8. To those applying for a PhD program in the Big Three (HYP), take heed to the message.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...