HAYATI LT. COL. HAMIM NDEMBO YUMA


BI.SAFINA NDEMBO WA PSPF ANAPENDA KUWAKARIBISHA NDUGU NA JAMAA KATIKA KUMBUKUMBU YA KISOMO CHA BABA YAKE MPENDWA LT COL.HAMIM NDEMBO YUMA ALIYETIMIZA MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI TAREHE 08/11/09.


KUMBUKUMBU YA MAREHEMU ITASOMWA NYUMBANI KWA MAREHEMU KINONDONI 'B' JUMAMOSI HII TAREHE 07/11/10 SAA SABA MCHANA.


UTAKUMBUKWA DAIMA NA MKEO MPENDWA BI.RUKIA, WANAO PAMOJA NA WAJUKUU WALIOKO HAPA TANZANIA NA CANADA .


NDUGU NA JAMAA NA MARAFIKI MNAKARIBISHWA
KATIKA KUMBUKUMBU NA KISOMO HIKI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Yeah!!! Kabusa Rafiki yangu.........Mungu akujalie imani na uwezo kupokea hili hasa katika wakati huu wa kisomo cha kumbukumbu!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...