Mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House,Khadija Mwanamboka akizungumza katika hafla ya kusherehekea miaka mitatu ya Tanzania Mitindo House,iliyofanyika leo katika viwanja vya TMH, Kigamboni.
Wadau wa Mitindo,toka shoto ni Gabriel Molel,Fidelin Iranga (gaga),Jamilah Swai na Best Model 2010 Martin Kadinda.
Mwenyekiti wa TMH,Khadija Mwanamboka (kati) akiwa katika mazungumzo na dada Rehema pamoja na Msimamizi wa Bongo Star Search.
Baadhi ya Washiriki wa Bongo Star Search wakiwa katika picha na bango la kituo cha Tanzania Mitindo House,Kigamboni leo.
Mwenyekiti wa TMH,Khadija Mwanamboka (pili kulia) akipokea misaada ya nguo za watoto wanaolelewa na kituo chake kutoka kwa wadau wa hoteli ya Double Tree ambao pia ndio waliofanikisha hafla hii miaka mitatu ya Tanzania Mitindo House,iliyofanyika Kigamboni leo.

kwa picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...