Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk. Nzuki (kuume) akiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi hio Bw. Geoffrey wakijadiliana jambo kwenye banda letu
Katika maonyesho ya Dunia ya Masoko ya Usafiri na Utalii (WTM) London mwaka huu,Tanzania imeanda hafla ya pamoja na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hafla hii ili wajumuisha Waziri wa utalii toka uganda, Naibu Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki, Mabalozi wa Tanzania,Rwanda, Uganda na Kenya.
Vilevile walikuwepo wawakilishi wa kiserikali na makampuni binafsi yafanyayo biashara za mbugani na utalii. Maonyesho haya ambayo hufanyika kila mwaka, hujumuisha nchi mbalimbali duniani ambazo hukusanyioka na kujaribu kujiuza na kujitangaza.
Kwa serikali na makampuni ya Kitanzania yafanyayo biashara hii huu ni mwaka wao wa kumi na moja katika kujishirikisha na maonyesho haya. Na kwa ukweli ulio wazi, banda la Tanzania limeng'ara sana, hongera kwa walio li-design kwani wamefaya kazi nzuri na ya kuvutia watalii
hivi hii urban purse hawanaga kazi eeh maana kila kukicha wako ubarozini huyu barozi hana kazi nyingine muhimu, harafu watu wenyewe hata sehemu za kulala shida ebu kafanyeni kilicho wa leta ulaya walikuwa wana msema susan mzee kila kukicha kwa barozi maajar sasa wao au karaghe shemeji yenu? tumechoka kuona habari zenu.
ReplyDeleteWe Frank, unapokuwa na watu wazima haswa wenye vyeo namna hiyo usiwe unaweka nne, hiyo ni dharau kubwa sana, waangalie wenzako wote walivyopose including balozi mwenyewe. Body language uwe mwangalifu wenzako wanakusoma hapo hapo kuwa una pride na wanaweza wasikusaidie ukaishia kufanya vikao mpaka na Kikwete lkn usifike popote. Act humble we kaka, thats the secret to success
ReplyDeletesasa hiyo shughuli imeng'ara kwa kina nani? maana sioni hata mzungu mmoja wakati wao ndio wangekuwa walengwa wa shughuli yenyewe, halafu balozi amekuwa mbaguzi maana hakushirikisha watanzania zaidi ya hao Pulse kana kwamba hao ndio wawakilishiwetu, watu wengine tunasoma kwenye blog kama tupo Bongo, naomba umwambie yeye kama Balozi anatakiwa aunganishe Wantanzania na sio kutugawa na kutubagua
ReplyDeleteJamani ndugu zangu wabongo acheni wivu na roho mbaya.
ReplyDeleteHuyo anonymous wa kwanzan acha unafiki hao jamaa kampuni yao ni ya media sasa kazi gani ingine unayoitaka wao wafanye? ama unataka wabebe maboksi kama watumwa? Na kama unafikiri hawana sehemu ya kulala basi hujui unaloliongea, hao vijana wamechukua flat wameigeuza studio we yako iko wapi na utuonyeshe basi unalala wapi
Na huyo susan na mama Majaar wanahusika vipi na urban pulse? ufikirie kabla hujaongea siku ingine, halafu inaonekana elimu yako ni ndogo sana ni UBALOZI na BALOZI sio Barozi, elimu ya shule ya msingi tu hiyo
Na we anonymus wapili huna upewo wa kina na inaonekana una fikra za kitumwa. umeambaiwa hayo ni maonyesho ya makampuni ya kusafirisha na kitalii sasa balozi anahusika vipi na kualika watu, si kazi wala jukumu lake kwani hayo ni maonyesho ya kiamataifa si ya kitanzania. Na kama kweli we ni mtanzania mkereketwa basi ungeenda huko ukawakilishe na wewe
watu wengine bwana bado wana fikra za kitumwa.Eti mtu asiwe comfortable just because yupo na mtu aliye na cheo.Sasa kuweka 4 na kutoweka 4 kunadescribe vipi character ya mtu? Kesho utasema(mdau #2) ukiwa unaongea na Mzungu uweke mikono nyuma.
ReplyDeleteHILI NDIO TATIZO LETU WATANZANIA CHUKI NA ROHO ZISIZO NA MSINGI NAFIKIRI WAKWANZA ALIYOSEMA SI MAZURI KAMA UNAONA HAWANA PAKULALA? BASI WAPE PAKULALA SI KUWATUKANA. MIE NAONA NI VIJANA WAZURI WENYE KUPENDA KAZI YAO NAKUJALI WAKINA SIE KUTUPA HABARI. NA PIA HATA MDAU ULIYEMSEMA MWENZAKO UKASEMA KUHUSU MABOX KAMA MTUMWA PIA SIZANI KAMA NI COMMENT NZURI KAZI NI KAZI KWA MWENYEZIMUNGU. MUHIMU TUMUOMBE MUNGUWALE WANAOFANYA KAZI AMBAZO HARAMU KAMA MAUNGA NA UJAMBAZI AWAEPUSHE TUSIWE TUNA{ELEKESHANA KWA MAJUNGU NIKUMFATA MTU USONI KAMA UNAONA AMEKOSA SIMNAWAJUWA? MZ
ReplyDelete