Home
Unlabelled
tanzania yatia fora katika food bazaar geneva
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vyakula vyetu vina mafuta sana. Ni mbaya kwa afya zetu. Sasa hivi kuna mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa kisukari hapo Dar imetangazwa kuwa ni janga lisipochukuliwa seriously linaweza teketeza Nusu ya Dar. Tuangalie vyakula vyetu na kufanya mazoezi. Watoto wadogo siku hizi wanakufa kwa ugonjwa wa moyo bila sababu.
ReplyDeleteNaona hao wapishi wamenona, au wamekula wenyewe? Mbona hilo banda la Tanzania hatujasikia Chapati, mbatata za urojo, badia, kachori, n.k. au wazenji hawamo?
ReplyDeletekama huna anything constructive usipost... watu wazima wengine ovyo!!!
ReplyDeletekuhusu mafuta ni wewe unavopika..... mimi mapishi yangu hata hivo vya mafuta napunguza kadri ninavyoona itafaa.... vile vile muwe na tabia za kula fruits, salads in all meals... vinginevyo itakuwamagonjwa hayaishi
gday
Wow.. I missed that...
ReplyDeleteI can clearly see u mama, Cathy and dad.... All in good health
Asta big up.. Jr still mentions u
much love u all
Du, Nakuona sister Carol; ndo maana sikuoni mitaa ya Sinza kumbe upo Geneva. Nikija mitaa hiyo nitakutafuta. Kaganda, najua baada ya makande ulielekea Tanzanite kufanya yale mambo yetu....
ReplyDeleteMbona hatuwaoni waswiss wana onja chakula zetu.
ReplyDeleteBanda limetia fora halafu mnakula wenyewe, labda wadanganyeni amabao hawajafika nchi za watu
ReplyDeleteMdawa wa mwisho umenena, mbona hamna mzungu, ni sisi wenyewe tunakula, kweli wadanganyeni ambao hawajui ulaya.
ReplyDeletepicha ya 5 na ya 3 ni waswahili?
ReplyDelete