Home
Unlabelled
tuepukane na ajali za namna hiii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Afrika bwana!....Ama kweli maisha hayana thamani Afrika!...Na kuna watu watakuambia ati hii ni "Rehema ya Mungu"
ReplyDeleteTHIS IS HORROR VIDEO, NAINASIKITISHA SANA KUWA NISISI WENYEWE KUANZIA ABIRIA NA DEREVA NDIO WANAO SABABISHA MAAFA KAMA HAYA. INASIKITISHA SANA TENA SANA.
ReplyDeleteHapa ndipo tunapopata cheti cha kufuzu upumbavu na ukatili kwa watu weusi,tukiambiwa watu weusi ni wapumbavu tunakunja ngumi,kuna mambo mengine huwa yanafanywa na mtu mweusi tu.Mimi sina maoni mengine zidi ya kuomba kwa mungu hatuhurumie na kutuma Akili,upendo na kujali wenzetu.
ReplyDeleteama kweli mola atulinde. wengi wetu tumepanda sana gari namna na hasa wakati wa kwenda kucheza mpira mechi za mbali kidogo.
ReplyDeleteWalikuwa wameshiba PILAU hao.
ReplyDeleteHii ilitokea Kenya na niliiona kwente Tru TV hapa USA. Wanasema hakufa mtu hapo kwa bahati nzuri ila ni kitu cha hataru sana kupakia watu kwenye Pick-up. Umaskini mbaya sana!
ReplyDeleteKmamake dereva alikuwa anafanya uzuri na roho za watu.Hii ajali haikusababishwa na chochote bali uzembe wa dereva wa kushindwa kuwa makini barabarani.Yes,pickup ilijaa kupita kiasi lakini ukiangalia dereva alifanya madoido ya kwenda kushoto-kulia katika mwendo wa kasi kisha akashindwa akalost control.Haki ya nani hawa madereva wanaosababisha ajali za kipumbavu wanatakiwa wafungwe vifungo vya maisha iwe fundisho kwa wengine.
ReplyDeleteMsikize huyo mama aliyekuwa anarekodi. Anauliza ati hii gari inaendeshwa na mama?
ReplyDeleteKumbe kina mama wanajua kuwa hawawezi kudrive!
KWA KWELI MUNGU TUSAIDIE WAAFRIKA TUPATE AKILI ZAIDI. INASIKITISHA SAANA SAANA
ReplyDeletepick up si gari za abiria jamani, ni gari za mizigo!!!idiot people.loh.
ReplyDeleteHii ni sababu ya umasikini. Hakuna usafiri wa kwenda nyumbani. Mtu afanyaje. Atapanda akipatacho. Dereva naye anawahi kufika ili apakie wengine ili apate pesa zaidi. Huko ulaya na marekani wanautajiri wa kupeleka basi tupu bila ya abiria ndio maana wanasheria kali. Je unataka mtu aende kwa miguu kutoka Posta mpaka Segerea?
ReplyDeleteNilikuwa najaribu kuchanganua "tuepukane na ajali"
ReplyDeletehalafu nikajaribu kufikiria neno ajali halafu utaiepukaje.
Nini maana ya neno ajali?
MWANANGU AMEWAMWAGA KAMA MAHINDI JAMANI UMEONA ILIVYO BINUKA SAMASOTI HUYO DADA AMENICHEKESHA AMESEMA SI NI KAMA MOGADISHU HALAFU ANAULIZA NI MAMA ANAENDESHA GARI
ReplyDelete