Rais na mwasisi wa taasisi ya Under the Same Sun, Peter Ash (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwendelezo wa mauaji ya Albino.kulia ni mmoja wa wakurugenzi wa taasisi hiyo,Don Sawatzky.

Ash Alisoma hukumu ya mahakama kuu iliyotolewa na Jaji Mkuu katika kesi ya rufani iliyokuwa ikiwakabili watuhumiwa watatu na mmoja wao aliwataja vigogo wanaofadhili mauaji hayo, hata hivyo mahakama haikuwataja ila imeliagiza jeshi la Polisi kuwachunguza na kuwafikisha mahakamani.Ash alisema hukumu hiyo imethibitisha kuwa bado serikali haijafanya jitihada za kutosha za kupambana na mauaji hayo.

Mkurugenzi mtendaji anayehusika na habari na Masuala ya Kimataifa wa Taasisi hiyo, Vicky Ntetema akionyesha nakala ya hukumu hiyo.Picha na Mdau Elias Msuya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera kwa kazi nzuri Vicky... M'Enzi asidi kukulinda.

    Pacha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...