yake mpya tayari kuanza kuchapakazi.
Mhe. Anne Makinda (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikaribishwa rasmi ofisini kwake leo na Kaimu Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Bi. Kitolona Kippa kwa niaba ya Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah




Michu hizi picha ni aje maana hata hazionyishi sura za watu. Mpigaji katumia simu au nini?
ReplyDeleteUnataka sura za nini..wewe jali ujumbe!by the way ofisi ni nzuri sana..namtakia kazi njema na mafanikio katika majukumu yake mapya
ReplyDeleteSio anne ni anna makindaaaaaaaa, hivi hii anne mmeiibua wapi?
ReplyDeletesamahani michuzi sijui jinsi ya kutuma msaada tutani naomba unitangazie natafuta chuo kizuri wanachofundisha english kwa mtu mzima kama mm napenda kujua kimombo kwani elimu haina mwisho plz usidharau ombi langu mdau DAR NA HUWA INANISUMBUA SANA NIKISAFIRI KIBIASHARA HATA KOPYUTA NIMEANZA KUJIFUNZA HIVI KARIBUNI
ReplyDeletesamahani michuzi una tabia ya kudharau ombi langu,mm ni mdau ndio naanza kujifunza vitu hivi vya kubofya(kopyuta)tatizo langu kubwa lugha ya kiingereza sijui na ninapenda kujua kwani elimu haina mwisho,naomba uniwewkee ili tangazo sijui jinsi ya kutuma nitafuta chuo wanachofundisha lugha ya kiingereza
ReplyDeleteMwambie atembelee choo cha wageni
ReplyDelete