1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
13.Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA
14.Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA
15.Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA
16.Vunjo - Augustino Lyatonga - TLP
17. Kasulu vijijini - Zaituni Buyogera - NCCR Mageuzi
18. Kasulu Mjini - Michael John - NCCR Mageuzi
19. Mbulu -Mustafa Akonay - CHADEMA
20. Ubungo - John Mnyika - CHADEMA
21. Kawe - Halima Mdee - CHADEMA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Sending my congratulations to the winners. I am so happy for my country...but ujumbe wangu ni kwa Mrema and Mbowe. Hii siyo dress rehearsal tena mimi nimewaona hawa watu toka nikiwa std 7 na sasa sijui mika mingapi imepita lakini kutokana na mielekeo yao isiyoeleweka basi wakapoteza umaarufu na imani kwa wananchi. Mumepewa the second chance and don't take it for granted sasa muende mkafanye mlichokifuata na kutrust your guts. Mambo yakutokua na mueleweko ndio yaliwapotezea umaarufu hawa. Wanaongea hili kesho wanaongea lile. Kam mngekua straigh head toka mwanzo leo mmoja wa hawa ndio tungekua tunamwita Mr president but look now...Lesson taken and now it is time to give all you can

    ReplyDelete
  2. CHADEMA KULE HANANG HAWAJATENDEWA HAKI! KULAMTU ANAJUA. UZOEFU WA CCM UNAFANYA KAZI YAKE!

    ReplyDelete
  3. Uum, simuoni mzee wa shoka Tunu Lissu. Inakua je hapa?

    Mdau (Vingunguti)

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa michuzi tujaribu kuwaelimisha wanajamii kuhusu hili.
    Rais, mbunge au Diwani anayeibuka na ushindi baada ya uchaguzi si mteule.
    Mteule ni yule anayeteuliwa na mtu au rais kwa ridhaa yake binafsi, lakini anayechaguliwa na wananchi ni Rais, mbunge au diwani mchaguliwa.

    ReplyDelete
  5. Hilo la mtu aliyechaguliwa kwa KURA kuitwa mteule ni sahihi kwa mjibu wa BAKITA. Mbunge mteule = MP elect (in english), rais mteule = President elect (in english). Neno hilo halina tatizo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...