Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akikata keki huku akiwa amezungukwa na Wafanyakazi wa Vodacoma walikuwepo katika kampuni hiyo kwa miaka yote 10 tangu kuanzishwa kwake,katika pati iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Mwamvita Makamba ikiwa ni tuzo ya heshima kutokana na ufanisi wake wa kazi pamoja na kuwa mshauri wake wa karibu sana katika mambo mbali mbali ya kazi.kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu Vodacom,Stella Kiwango.
Mwamvita na Hazbend wake
Da' Nelusigwe Mwangota akiwa na tuzo yake mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kati).kulia ni Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu Vodacom,Stella Kiwango.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akizungumzia mafanikio makubwa waliyoyapata katika kipindi chote cha miaka 10 ya utoaji huduma kwa kampuni hiyo katika hafla iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukimbi wa Mlimani City,jijini Dar.
wakuu mbali mbali wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu.
Meza ya Wakuu wa Vodacom Tanzania wakiangalia video fupi ya iliyoonyesha mambo mengi yaliyofanya na Kampuni hiyo tangu ilipoanza.

kwa picha zaidi.

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sijui tunahangaikia nini ughaibuni kupiga boxi wakati karatasi za Bongo ni dili....

    ReplyDelete
  2. Nilifikiri Vodacom ina zaidi ya miaka 10? Inanikumbusha enzi za Tritel na Mobitel.

    ReplyDelete
  3. Hamna kwenda mbali. Makaratasi yako hapa hapa bongo

    ReplyDelete
  4. Lupex,
    Kitambi kama cha professor Gazey!

    ReplyDelete
  5. wengine tunapenda kiukweliukweli sio mambo ya makaratasi LOL

    ReplyDelete
  6. hahahahaa hahahahaa tih tih tih

    lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...