Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Afrika Kusini imefanikiwa kuandaa mashindano ya soka ya dunia kama ilivyofanya, na kujiletea sifa kubwa, na pia kuiletea Afrika sifa. Lakini kitu kimoja pia ambacho kimetokea ni kusambaa kwa vuvuzela duniani na kuingia katika maisha na tamaduni mbali mbali. Niligusia suala hili hapa.

    ReplyDelete
  2. Soon Vuvuzela zitakataziwa hapa sauz kuingia nazo uwanjani sababu kaiza chief wamezifanya kama silaha baada ya kushindwa mechi kwahio sasa hivi wanangalia uwezekano wakuzuiliwa kuingia nazo uwanjani sijui kama itawezekana manake hawa jamaa vichaa na viongozi wa timu wenyewe wanasema hazina maana yeyote zaidi ya makelele yasio kuwa na mpango ndo sababu UK wamezi ban

    ReplyDelete
  3. wakati mwingine ankal unavurugu! niulize swali hizo vuvuzela ni made in wapi? kama namna gani ankal tuanzishe kiwanda chetu inaelekea tutazichanga sana hasa tukijiandaa kwa uchaguzi ujao wa 2015 hapo unaonaje ankal?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...