Tancut Almasi Band enzi za Mwalimu wakikupa 'kinyekinye kisonzo' ndani ya uwanja wa Samora mjini Iringa. Toka shoto ni: Ray Mlangwa, Bakari Buhero, Hashim Kasanga, Mohamed Shaweji, John Kitime, Kalala Mbwebwe, Kawelee mutimwana,Abdul Mngatwa, Kibambe Ramadhan, Zacharia daniel, Akuliake 'King Maluu' SaleheKwa mujibu wa JFK hali ni hii.. Ray Mlangwa(marehemu), Bakari Buhero(niliambiwa kawa mganga wa kienyeji), Hashim Kasanga(marehemu,aliuja aliajiriwa kama mlinzi akauwawa kwa mapanga na majambazi), Mohamed Shaweji(sina uhakika japo taarifa nyingine zinasema alifia Kisumu), John Kitime (anafacebook), Kalala Mbwebwe(marehemu), Kawelee Mutimwana anapiga muziki London),Abdul Mngatwa(mlinzi Iringa), Kibambe Ramadhan( yuko na King kiki Wazee sugu), Zacharia daniel (marehemu), Akuliake 'King Maluu' Salehe(anapiga muziki Dar)
mtembelee mwanamuziki mkongwe John Kitime a.k.a JFK



bwana michuzi hapo walikuwa jamhuri stadium dodoma siyo iringa.
ReplyDeletehiyo picha ya chini huyo wa katikati anapulizia mashine wapi jamani hy??
ReplyDelete