(inaendelea kubadilika kadiri matokeo
yanavyotolewa na Wasimamizi wa vituo).

1.Ubunge Babati Vijijini - Jitu Soni/CCM

2. Ubunge Kilombero - Abdul Mtekete/CCM

3. Ubunge Mkuranga - Adam Kighoma Malima/CCM

4. Ubunge Singida Kaskazini - Lazaro Samwel Nyalandu/CCM

5. Ubunge Sikonge - Said Nkumba/CCM

6. Ubunge Bukene - Selemani Jumanne Zedi/CCM

7. Ubunge Igalula - Athuman Rashid Futakamba/CCM
Ubunge Tabora Kaskazini - CCM

8. Ubunge Ukonga - Eugene Elishiringa Mwaiposa/CCM
9. Ubunge Segerea - Dk. Milton Makongoro Mahanga/CCM

10. Ubunge Igunga - Rostam Aziz/CCM
11. Ubunge Liwale - Faith Mohammed Mitambo/CCM
12. Ubunge Njombe Mjini - Anna Makinda/CCM

13. Ubunge Ileje - Nikusama Kibona/CCM
14. Ubunge Kigoma Kusini - David Kafulila/NCCR Mageuzi

15. Ubunge Kilwa Kusini - Bungaro Said/CUF

16. Ubunge Muhambwe - Felix Mkosamali/NCCR Mageuzi
17. Ubunge Kilwa Kaskazini - Mustapha Mangungu/CCM
18. Ubunge Bagamoyo - Dk. Shukuru Kawambwa/CCM

19. Ubunge Bariadi Mashariki - John Momose Cheyo/UDP
20. Ubunge Bariadi Magharibi - Andrew John Chenge/CCM

21. Ubunge Bukombe - Prof. Kayigela Kahigi/CHADEMA
22. Ubunge Kalenga - William Mgimwa/CCM
23. Ubunge Mbozi Mashariki - Godfrey Zambi/CCM
24. Ubunge Korogwe Vijijini - Steven Ngonyani/CCM

25. Ubunge Pangani - Salim Pamba/CCM

26. Ubunge Same Magharibi - Dk. Mathayo David/CCM
27. Ubunge Mtera - Livingstone Lusinde/CCM

28. Ubunge Nzega Mjini - Dk. (Medical Doctor) Hamisi Andrea Kigwangalla/CCM

29. Ubunge Kigamboni - Dk. (Medical Doctor) Faustine Ndugulile/CCM

30. Ubunge Muleba Kaskazini - Charles Mwijage/CCM

31. Ubunge Kawe - Halima James Mdee/CHADEMA

32. Ubunge Muleba Kusini - Prof. Anna Kajumulo-Tibaijuka/CCM

33. Ubunge Same Mashariki - Anne Kilango-Malecela/CCM

34. Ubunge Mufindi Kusini - Menrad Lutengano Kigola/CCM
35. Ubunge Mufindi Kaskazini - Mahmoud Hassan Mgimwa/CCM
36. Ubunge Kondoa Kaskazini - Zabein Muhita/CCM
37. Ubunge Bahi (ipo Dodoma) - Omary Badwel/CCM

38. Ubunge Monduli - Edward Lowassa/CCM

39. Ubunge Hanang - Mary Nagu/CCM

40. Ubunge Singida Mashariki - Tundu Lissu/CHADEMA

41. Ubunge Misungwi - Mawematatu Charles Kitwanga/CCM

42. Ubunge Kwimba - Masoor Sharif/CCM

43. Ubunge Mbulu - Mustapha Quorro Akonaay/CHADEMA

44. Ubunge Karatu - Israel Yohana/CHADEMA

45. Ubunge Ubungo - John Mnyika/CHADEMA

46. Ubunge Manyovu (awali liliitwa Kasulu Magharibi) - Albert F. Ntaliba/CCM

47. Ubunge Rorya - Lameck Airo/CCM

48. Ubunge Sumbawanga Mjini - Aeshi Khalfan Hilal/CCM

49. Ubunge Tanga - Omar Noor Rashid/CCM

50. Ubunge Busanda (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Bi. Lawrencia Bukwimba/CCM
51. Ubunge Mbozi Magharibi - Silinde David/CHADEMA

52. Ubunge Kibondo - CHADEMA

53. Ubunge Geita (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Max Donald/CCM

54. Ubunge Nyang'hwale (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Hussein Nassoro Mamari/CCM

55. Ubunge Ruangwa - Kassim Majaliwa/CCM

56. Ubunge Lulindi - Jerome Bwanaus/CCM

57. Ubunge Serengeti - Kebwe Stephen Kebwe/CCM

58. Ubunge Mwibara - Alfax Lugora/CCM

59. Ubunge Masasi - Mariam Kasembe/CCM

60. Ubunge Makete - Dk. Binilith Mahenge/CCM

61. Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyaga Machemuli/CHADEMA

62. Ubunge Manyoni - John Chiligati/CCM
63. Ubunge Bunda - Stephen Wassira/CCM
64. Ubunge Kasulu Vijijini - Agripina Z. Buyogela/NCCR-Mageuzi

65. Ubunge Morogoro Kusini Mashariki - Lucy Nkya/CCM
66. Ubunge Bukoba Mjini - Khamis Kagasheki/CCM

67. Ubunge Njombe Kaskazini - Deo Sanga/CCM

68. Ubunge Njombe Magharibi - Gerson Hosea Lwenge/CCM

69. Ubunge Morogoro Kusini - Innocent Karogoresi /CCM
70. Ubunge Dodoma Mjini - David Malole/CCM
71. Ubunge Urambo Mashariki - Samwel Sitta/CCM
72. Ubunge Kyela - Harrison Mwakyembe/CCM
73. Ubunge Morogoro Mjini - Aziz Abood/CCM

74. Ubunge Arumeru Magharibi - Ole Sambu/CHADEMA
75. Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM

76. Ubunge Mkinga - CCM
77. Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM

78. Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM

79. Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
80. Ubunge Kibaha - CCM

81. Ubunge Kisarawe - CCM

82. Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM

83. Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM

84. Ubunge Vunjo (ipo Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP

85. Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM
86. Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF
87. Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM

88. Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
89. Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM

90. Ubunge Siha (ipo Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
91. Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA

92. Ubunge Chato (awali liliitwa Biharamulo Mashariki) - John Magufuli/CCM
93. Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA

94. Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM

95. Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM

96. Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk. Antony Mbasa/CHADEMA
97. Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses John/NCCR Mageuzi

98. Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM

99. Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM

100. Ubunge Rombo - Joseph Selasini/CHADEMA

101. Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
102. Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA

103. Ubunge Babati Mjini - Chambiri Werema/CCM

104. Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA

105. Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
106. Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM

107. Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
108. Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM
109. Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM

110. Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA

111. Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM

112. Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
113. Ubunge Korogwe Mjini - Yusuf Nassir/CCM

114. Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA

116. Ubunge Kongwa - Job Ndugai/CCM
117. Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM
118. Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
119. Ubunge Tandahimba - Juma Njwayo/CCM
120. Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
121. Ubunge Kibakwe - CCM
122. Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
123. Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM
124. Ubunge Bumbuli - January Makamba/CCM
125. Ubunge Kondoa Kusini - Juma Nkamia/CCM
126. Ubunge Ilala - Mussa Azan Zungu/CCM
127. Ubunge Ukonga - Eugen Mwaiposa/CCM

Jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania 2010 ni 239.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. mbona hujaweka wabunge wa zanzibar na vyama vyao.weka list plz

    ReplyDelete
  2. Tunaomba matokeo ya kwetu Kondoa kwani nasikia Juma Nkamia alikuwa anagombea mbona mnambania kumtangaza?

    ReplyDelete
  3. Michuzi unakosea hawa sio wateule hawa ni wachaguliwa [elected] wateule ni [appointed] bila kura za watu . Hapa watu wametumia demokrasia kuchagua hivyo usiwashushie hadhi yao these are elected ..Hawajawa official seated but still kwa katiba na sheria wamepita na wana hadhi zote za nchi

    ReplyDelete
  4. Naona TLP kiti kimoja tu.. Karibu chama kinakufa nini hicho?

    ReplyDelete
  5. HAHAHAHA NAONA MZEE MAPESA CHEYO KASHIKILIA MWENYEWE KIDEDEA HAKUNA MWENGINE HIYO INAONYESHA WAZI JINSI YA CHAMA CHA CHEYO KILIVYOKUWA KIMEISHIWA YANI HAKINA WENYE UWEZO WA KUONGOZA ZAIDI YA MZEE MZIMA MWENYEWE CHEYO MAPESA.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Anna kilango kwa kutetea jimbo la same Mashariki tunataka maendeleo zaidi.

    ReplyDelete
  7. Nchi ndogo majimbo sijui mangapi. Hiyo hela ya kuwalipa hawa wabunge wote inatoka wapi. Nchi nyingine zina punguza majimbo siye tunayaengeza. This Govt is too big for nothing. Watu wangapi tupo nchine million 50? Sasa wabunge wote hao wa nini? Nchi ina watu karibu million 300 na wabunge wake ni kama wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...