Home
Unlabelled
Wadau wa Arusha wala Nondozz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu riziki ndiye yule aliyesoma pale CBE Dodoma mwishoni mwa miaka ya 1999?safi wadau kutuwakilisha huko bongo.nakumbuka hapa Rehani hapa Mbilili hapa Eric hapa dah
ReplyDeleteMichu hujaweka matokeo ya "La Classico" Barc 4 Real 0 si tu uweke ya Bwawa la maini.
ZAUNUNU AMSTERDAM.
Duh! ESAMI ndio chuo gani tena? Na watatoa MBA? Hongereni sana mliograduate..
ReplyDeleteMzee masahihisho tu MBA inaitwa Shahada ya Uzamili sio Stashahada!
ReplyDeleteMBA siyo stashahada, ni shahada ya .........(malizia)
ReplyDeleteMheshimiwa Michuzi,
ReplyDeleteStashahada haiwezi kuwa MBA. MBA ni shahada ya uzalimili, ya Uongozi katika Biashara (Masters in Business Administration).
- Stashahada ni neno la Kiswahili kwa "Diploma".
- Stashahada ya Juu ni "Advanced Diploma".
Lakini shukrani kwa kutupasha habari ndugu yangu. Mungu akubariki siku zote!!
Hongera sana haika kwa kula nondoz God bless you!
ReplyDeletefrank hongera sana shemeji yangu mungu mfano wa kuigwa kileos. keep it up salaam kwa wifi
ReplyDeleteWewe unayeuliza ESAMI ni chuo gani! ni chuo kikuu kinachofahamika sana nchini Tanzania kwa wana Accounting kipo Arusha Njiro. Hongereni sana wote mliokula nondoz zenu.
ReplyDeleteHongera Frank kwa kula nondo na kuowa. Rose [Sufi].
ReplyDeleteGood mileage kiongozi...lets keep the ball rolling and leave no stone unturned mzee!
ReplyDeleteKrom