Mdau Frank Kileo ambaye ni mfanyakazi wa Vodacom kanda ya kaskazini kama MPESA Manager akiwa na Mke wake baada ya kutunikiwa nondozzz ya MBA katika Chuo Kikuu cha ESAMI mjini Arusha.
Mmoja ya Wahitimu wa chuo kikuu cha ESAMI Aika James akiwa kwenye tafrija baada ya kutunukiwa nondozzz ya MBA.
Mdau Riziki Mwalupindi akifungua Champaigne kama ishara ya ufunguzi wa hafla fupi ya kumpongeza Frank Kileo baada ya kutunukiwa nondozzz za MBA katika chuo cha ESAMI tarehe 27/11/2010 katika hotel ya OlDIVAI GAUGE Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Huyu riziki ndiye yule aliyesoma pale CBE Dodoma mwishoni mwa miaka ya 1999?safi wadau kutuwakilisha huko bongo.nakumbuka hapa Rehani hapa Mbilili hapa Eric hapa dah

    Michu hujaweka matokeo ya "La Classico" Barc 4 Real 0 si tu uweke ya Bwawa la maini.

    ZAUNUNU AMSTERDAM.

    ReplyDelete
  2. Duh! ESAMI ndio chuo gani tena? Na watatoa MBA? Hongereni sana mliograduate..

    ReplyDelete
  3. Mzee masahihisho tu MBA inaitwa Shahada ya Uzamili sio Stashahada!

    ReplyDelete
  4. MBA siyo stashahada, ni shahada ya .........(malizia)

    ReplyDelete
  5. Mheshimiwa Michuzi,
    Stashahada haiwezi kuwa MBA. MBA ni shahada ya uzalimili, ya Uongozi katika Biashara (Masters in Business Administration).

    - Stashahada ni neno la Kiswahili kwa "Diploma".
    - Stashahada ya Juu ni "Advanced Diploma".

    Lakini shukrani kwa kutupasha habari ndugu yangu. Mungu akubariki siku zote!!

    ReplyDelete
  6. Hongera sana haika kwa kula nondoz God bless you!

    ReplyDelete
  7. frank hongera sana shemeji yangu mungu mfano wa kuigwa kileos. keep it up salaam kwa wifi

    ReplyDelete
  8. Wewe unayeuliza ESAMI ni chuo gani! ni chuo kikuu kinachofahamika sana nchini Tanzania kwa wana Accounting kipo Arusha Njiro. Hongereni sana wote mliokula nondoz zenu.

    ReplyDelete
  9. Hongera Frank kwa kula nondo na kuowa. Rose [Sufi].

    ReplyDelete
  10. Good mileage kiongozi...lets keep the ball rolling and leave no stone unturned mzee!

    Krom

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...