Mkuu wa Kiwanda cha Nondo cha Altaf Zulfiqar Bw. Zulfiqar Ali (kushoto) akipongezwa na wafanyakazi wake baada ya kumalizika kwa hotuba ya rais Jakaya Kikwete na kuipongeza. Wafanyakazi hao walikuwa wanaangalia kupitia luninga wakati wa kazi Dar jana Juu na chini ni bosi huyo na wafanyakazi hapo kiwandani




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Samahani lakini,hivi hawa tumeambiwa ni wafanyakazi tena wanafanya kiwandani cha kushangaza ni kuwa hakuna hata mtu alovalia safety boots na ngua za kazi hivi hata uniform hawana hawa kisha tunawaonesha kwenye mtandano ,Au Tanzania hakuna health and safety law?

    ReplyDelete
  2. Kiwanda kikubwa cha Nondo ni maajabu hata nguo za kazi hawana.au ni kama Bombay.hapo hakuna pengine hata usalama kazini.

    ReplyDelete
  3. usalama upo na bombay imeendelea mara 1000 kuliko tz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...