Tancut Almasi Band enzi za Mwalimu wakikupa 'kinyekinye kisonzo' ndani ya uwanja wa Samora mjini Iringa. Toka shoto ni: Ray Mlangwa, Bakari Buhero, Hashim Kasanga, Mohamed Shaweji, John Kitime, Kalala Mbwebwe, Kawelee mutimwana,Abdul Mngatwa, Kibambe Ramadhan, Zacharia daniel, Akuliake 'King Maluu' Salehe
Kwa mujibu wa JFK hali ni hii.. Ray Mlangwa(marehemu), Bakari Buhero(niliambiwa kawa mganga wa kienyeji), Hashim Kasanga(marehemu,aliuja aliajiriwa kama mlinzi akauwawa kwa mapanga na majambazi), Mohamed Shaweji(sina uhakika japo taarifa nyingine zinasema alifia Kisumu), John Kitime (anafacebook), Kalala Mbwebwe(marehemu), Kawelee Mutimwana anapiga muziki London),Abdul Mngatwa(mlinzi Iringa), Kibambe Ramadhan( yuko na King kiki Wazee sugu), Zacharia daniel (marehemu), Akuliake 'King Maluu' Salehe(anapiga muziki Dar)
Kwa hazina kama hii ya muziki na wanamuziki wa Tanzania
mtembelee mwanamuziki mkongwe John Kitime a.k.a JFK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. bwana michuzi hapo walikuwa jamhuri stadium dodoma siyo iringa.

    ReplyDelete
  2. hiyo picha ya chini huyo wa katikati anapulizia mashine wapi jamani hy??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...