Mhitimu wa Shahada ya Mawasiliano ya Umma katika Chuo cha Mtakatifu Augustino(SAUT) Bi. Radhia Omary Rajab akiwa amepozi jana katika Viwanja vya Raila Odinga baada ya kutunikiwa Shahada hiyo mjini Mwanza.
Maafisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bwana Artemony Tiganya Vincent( kulia) na Bibi Lydia Churi (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja katika Viwanja vya Raila Odinga vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) mara baada ya kutunikiwa shahada za Uzamili Master of Arts in Mass Communication) na Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT)
Afisa Habari Mkuu Mstaafu Jacob Tesha (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa Habari wa Wizara , Halmashauri na Idara za Serikali zinazojitegemea mara baada ya kutunikiwa Shahada za Uzamili (Master of Arts in Mass Communication) na Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) jana jijini Mwanza. Picha na MAELEZO - Mwanza



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Suali nini maana ya neno uzamili? sentensi inasema hivi Shahada za Uzamili (Master of Arts in Mass Communication)

    ReplyDelete
  2. Pongezi, hongera na congrats Jacob Tesha. Huyu namfahamu tangu miaka ya late 70's. Vijana, huu ndio mfano wa kuigwa. Elimu haina mwisho. Ahmed Abdul.

    ReplyDelete
  3. Mfugale M - MonroviaNovember 29, 2010

    Tiganya na Lydia, hongereni sana kwa kula Nondoz (M.A in Mass Communication). Nawatakieni kila la kheri katika maisha yenu ya kila siku.

    ReplyDelete
  4. Hondera Radhia umefight vya kutosha n u need a thumb up...for years for BA is not a joke....congrats lady.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...