Jumuiya ya Watanzania Nchini Japani inapenda kuwakaribisha Watanzania wote wanaoishi Japani kuhudhuria sherehe ya uhuru.
Mheshimiwa Balozi, Mama Salome Sijaona atakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hii.
Sherehe hii itafanyika siku ya tarehe 12/12/2010 (Jumapili), kuanzia saa Nane mchana mpaka saa saa Tatu usiku katika ukumbi wa club ya PPP uliopo karibu station ya Sagamino (sotetsu line). Ukifika station ya Sagamino tokea SOUTH EXIT. Ni dakika 5 kutokea station. Anuani ya ukumbi ni: Ebina-shi, Higashiwagaya 5-1-15. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kufika ukumbini piga namba zifuatazo: 080-1326-9700, 080-3242-7442.
Tungependa siku hiyo itumike kutukutanisha Watanzania na kuweza kubadirishana mawazo na kufahamiana ili kuweza kujenga umoja na ushirikiano pia kutafakari mustakabali wa Taifa letu tangu tupate uhuru. Pamoja na hayo, kutakuwa na uzinduzi rasmi wa Tovuti ya Jumuiya na kutakuwa mjadala wa mada mbili tatu zitakazotolewa na watu mbalimbali, bila kusahau muziki wa Kitanzania.
Ili kurahisisha shughuli za maandalizi na hasa makadirio ya chakula na vinywaji, tafadhali tunaomba wale wote wanaopenda kuhudhuria tafrija hii kuthibitisha kwa kujiandikisha wao na wale watakaofuatana nao kwa viongozi wafuatao:
1. Upendo Mwimbage: 080- 4002-9700
2. Mariam Yazawa: 090-4422- 8555
3. Gwakisa Muhoka: 080-3242-7442
4. Bagilo Jumbe: 090-1733- 7447
5. Juma Kipya: 080-3414- 4460
6. Amani Paul: 080-4200- 0684
7. Christopher Ntyangiri: 090-9377-3524
8. Asmah Kobayashi: 080-3311-8183
9. Yusuf Mzee wa MAJI: 080-2064-6573
Siku ya mwisho ya kujiandikisha ni tarehe 4/12/2010. Wasiojiandikisha na kuthibitisha kuhudhuria hawataruhusiwa kuingia ukumbini siku ya tafrija. Pia tunawaomba wale wote watakaohudhuria kuzingatia muda.
Tafadhali ukipata taarifa hii muhabarishe Mtanzania mwenzako.
Ahsanteni.
Uongozi,
Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani.

Tunaona hapo juu kijana Diamond afanya makamuzi London,it sounds good !!!Sasa ni Japan,huko tuko na mabalozi wetu wanaowakilisha utamaduni wetu akina Fresh Jumbe,kazi kwenu tunategemea kuwaona mkikamua kwenye kiwanja chenu,msingoje mpaka akina Diamond,Ally Kiba au Lady Jd waje kuwapiku !!!kama inavyoonyesha katika sherehe za uhuru Japan,kutakuwa na muziki wa kitanzania tunategemea kuwao nanyi mkikamua.
ReplyDeletekila la kheri.
K.Mayunga,Ukonga(mombasa)