Mahojiano maalumu na mtaalamu, mtafiti na mwandishi wa 'Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia'.
Kwa habari kamili mtembelee kaka Freddy Macha
BOFYA HAPA
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Mahojiano maalumu na mtaalamu, mtafiti na mwandishi Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ile chemba ya kemicali haiwezi kuweka watu 100 hata kwa kuwacharanga wakiwa maiti. Labda majivu yao.
ReplyDeleteRubbish! Mbinguni ni chini, chini ni juu, Watanganyika walivamia Zanzibar, Waarabu hawakuwatesa Waafrika, Wafrka nao walishiriki kwenye utumwa...ili mradi tu
ReplyDeleteAhsante sana Ndugu Harith kwa kusema ukweli. Wazungu walipokuja kutawala Afrika Mashariki waliwadanganya mababu zetu kuwa wamekuja kuondoa utumwa na kujenga chuki katika nyoyo za watu waliokwenda katika shule zao. Maskini babu zetu hawakujua kuwa biashara kubwa kuliko zote za utumwa katika historia ilifanywa na wazungu waliokuja Afrika magaharibi na kuchukua zaidi ya watumwa milioni 200 kwa kipindi cha miaka 400 kuwapeleka Amerika ya Kaskazini, Kati na Kusini kufanya kazi katika mashamba yao katika biashara inayoitwa "Trans-Atlantic Trade". Mimi nimesoma USA ambako ukisoma historia katika mashule yao na vyuo vyao wanafundisha kuwa watumwa walioletwa USA waliuzwa na Waafrika wenzao. Mbegu za sumu ya chuki zilizopandawa na wakoloni wa kizungu Afrika mashariki karne ya 19 imeendelea kuzaa miba ya ghadhabu ambayo imefunga vichwa vyetu visiweze kufikiri kwa utulivu. Martin Luther King jr alisema kuwa chuki haitoweza kumkomboa kabisa binadamu. Tuanze kuitazama historia yetu kwa hoja za kweli na si kwa sumu ya chuki.
ReplyDeleteMsema kweli mpenzi wa Mungu. Well done Harith.
ReplyDeleteWe Jaribu, Soma kwanza hicho kitabu, tafakari kisha utoe maoni yako. Hizo "knee-jerk reaction" zenu hazitawafumbua macho. Nimekisoma hicho kitabu na kimenipa "food for thought".
ReplyDeleteThis book was long overdue. Ahsante Freddy na mwandishi wa hicho kitabu. Nimeona kuwa kuna baadhi ya wenzetu [hawako visiwani]wamekerwa sana na mwafaka uliofikiwa Zanzibar kwa kuwa hao wakerwa hawakutaka Wazanzibari wapatane na wafokas katika kuijenga upya Zanzibar yetu kimaendeleo. Luvnpeace. Kombo.
ReplyDelete