Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika Maonesho ya Utalii yajulikanayo kama Las Vegas Luxury Travel Show yaliyofanyika Las Vegas,Nevada katika hoteli ya Mandalay Bay na kuvutia nchi na makampuni ya utalii zaidi ya ya 400 mwishoni mwa wiki iliyopita. Kulia ni Bw. Macon ambae amepanda Mlima Kilimanjaro mara 17.

Kama kawaida mijimababa mitupu aaaaaaaargghhh
ReplyDeleteImefikia wakati kuwatumia ma Miss kwenye haya maonyesho. Hata madada wanaovutia wataleta mvuto zaidi ya mibaba.
ReplyDelete