TID akiwa na bendi yake ya TOP in Dar akizindua albamu yake mpya ya 'Sifai' usiku huu katika ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar ambapo wapenzi kibao walijitokeza kushuhudia
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 4 Kevin Chuwang Pam toka Jhos, Nigeria (wa nne kulia, shati jeusi), na mchumba wake na mshiriki mwenza katika shindano hilo la mwaka 2009 Elizabeth Gupta (kulia kwake) na walikuwepo kama wageni maalumu katika uzinduzi wa 'Sifai' usiku huu Club Billicanas.

kwa picha zaidi
BOFYA HAPA
.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ankal wewe ni kiboko yao wengine watafata mkia. nimekuamini kweli wewe ni mzee wa libeneke, maana kitu kinaendelea live wewe ushaturushia si mchezo. fagilia michuzi na tid ya the best and real top in dar if not tz.
    maisha utani ,holland

    ReplyDelete
  2. PETER NALITOLELADecember 29, 2010

    I CHALLENGES KEVIN OF BIG BLAZA OF AFRICA TO COME AND STUDY THE ECONOMY IN MUZUMBE UNIVESITI OF COLLEGE OF ECONOMY IN MULOGOLO. HE WILL TREATS MY SISTER AND THE BUTIFUL ELIZABETH TO BECOMES HIS WIVES OF TANZANIA, AND WE BECOMES GOOD BLOTHES FRM NIGELIA AND TAZANIA. HE WILL GET GENIUS OF TANZANIA ANKAL ISSA MICHUZI, HILDBANDS SHAYO, PROPHETS YOHANA MASHAKA, STVE KANUMBA OF MOVIES STARTS OF TANZANIA AND CHALLENGES WITH RICHARD OF BIG BRAZA TWO TO BECOME BIG BLADHA OF TANZANIA. IF HE LOVE MORE TANZANIA WILL MAKES HIM SEE HIS NBA SUPERTAR HASHEEM THABEET OF MEPMGIS OF D-LIGI OF USA AND NBA AND BECOMES THE HEROS OF TANZANIA. WE WELKAM YOU TO TANZANIA TO ENGADED TO MY SISTERS AND BEAUTIFUL ELIZABTH GUPTA TO MALLY OUR BROTHA FROM ANOTHER MATHER OF NIGERIA AND OGA

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri Michu blog. TID ni mwanamziki mkali sana. Nime enjoy hiyo video.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...