Mshindi wa Big Brother Africa 4 Kevin akishukuru kwa kuwa mgeni wa kwanza katika Angella Bondo Talk show iliyoanza kurekodiwa usiku huu katika ukumbi wa Serengeti wa hoteli ya Paradise City iliyomo katika ghorofa ya pili ya jengo la Benjamin Mkapa Towers jijini Dar. Kulia ni Angella Bondo mwenyewe, wa tatu toka kulia ni Elizabeth Gupta na wengine ni dada zake Kevi aliokuja nao toka Nigeria kuhudhuria harusi yake na Elizabeth

first to comment, mawifi nimewapenda, duu yuko bomba ile mbaya sijui wote wameolewa.
ReplyDeleteEliza mdomo mama kafunge hao wakikuchangia si wanakutoa utumbo? hahaha, jokes
ndio nini??? bongo kwa kuiga !!OPRAH show hio ???
ReplyDelete