Agosti 25, 2006: Marehemu Dk. Remmy Ongala (kati) akiwa na wanamuziki wakongwe wenzie enzi za uhai wake, Kikumbi Mwanza Mpango Kikii wa bendi ya Wazee Sugu (shoto) na Ismail Issa Michuzi wa Mwenge Jazz wakati wa kupokea mirahaba ya kazi zao kwa mara ya kwanza katika historia kwenye ofisi za Copyright Society of Tanzania (COSOTA) jijini Dar. Dk. Remmy aliyefariki majuzi anatarajiwa kuangwa asubuhi hii kwenye viwanja vya Biafra, Kinondoni, jijini Dar kabla ya maziko yaliyopangwa kufanyika makaburi ya Sinza Mwika makaburini .

RIP Dr. Remmy, utakumbukwa daima. - Ben
ReplyDelete