Afisa Mwendeshaji wa Benki ya FBME,Abia Maneno akizungumza mara baada ya kukabidhi mashuka 200 kwa Kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Mwananyama leo.
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospital ya Mwananyamala,Dr. Kariamel Wandi akitoa shukrani kwa wadau wa benki ya FBME waliotoa msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya wagonjwa wa hopitali hiyo.
Afisa Mwendeshaji wa Benki ya FBME,Abia Maneno (kulia) akikabidhi moja ya mashuka 200 yaliyotolewa na benki hiyo kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala,Dr. Kariamel Wandi.makabidhiano hayo yamefanyika mchana wa leo katika hospitali hiyo.
Meneja wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam,Haider Mwinyimvua (katikati) akiwa pamoja na Maafisa Waendeshaji wa Benki hiyo.Kulia ni Khanat Aboud na kushoto ni Abia Maneno wakimsikiliza Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala,Dr. Kariamel Wandi (hayupo pichani) wakati akitoa shukrani ya msaada walioupata.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Misaada mizuri hiyo , twashukuru kwa moyo wenu , na wengine wafanye hivyo, kani wema hutangaza biashara yako pia!

    ReplyDelete
  2. Mpango mzima papaa Haider, naona unatekeleza ilani ya benki - mdau Mwanza!!

    ReplyDelete
  3. Khanat kwa mapozi! Looking Good though

    ReplyDelete
  4. Abia Way to go My dear, Keep up the good work

    Shoga wako....

    ReplyDelete
  5. Abia Maneno, looking cute as always, nice to see you again! Salimia sana wote front FBME.............Mdau Mwanza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...