Mwimbaji Mtanzania anaetingisha kwa miondoko ya Bongo Fleva huko Uingereza, FRANCIA CHENGULA, ametoa Album yake mpya inayoitwa MOYO WANGU. Album hii kwa sasa inaweza kupatikana Itune, Napster and Amazon MP3. Kwa wale wanaotaka Hard Copy CD pia zinapatikana.Nyimbo zote ni za Kiswahili na ni pamoja na ule wimbo Maridadi unaopendwa na uliovuma sana wa NAKUPENDA TANZANIA. WATU POPOTE DUNIANI WANAWEZA KUNUNUA KWA KUFUATA LINK HII HAPA
http://itunes.apple.com/us/album/moyo-wangu-ep/id410241720
Kwa maelezo zaidi au mawasiliano na team ya Francia
Piga simu no. 07789417307


Mbona kama nimesoma naye Oysterbay primary school, ni Francia John?
ReplyDeleteNdio kasoma O'bay na makazi yao ni Regent estate area.
ReplyDeletehello na mie nimesoma nanyi mwaka mmoja mbele ya FranciaO'Bay primary.
Oysterbay JUU oyeeeeee
Keep the flag flying girl, go go
ReplyDeleteWeka wimbo mmoja hapa michuzi, happened to hear a song in Tanzani, hongera sana dada
ReplyDeleteKwa wenye credit cards, album ni bei nzuri tu 4.95$. Mi nimenunua sasa hivi. Lakini pia ni jukumu la msanii au wawakilishi wake kuhakikisha muziki unawekwa kwenye category sahihi ndani ya itunes, kwani huu muziki umekuwa listed kama "Gospel, Christian Music" -- kidogo tu nisinunue kama nisingesikiliza preview
ReplyDeleteKweli Obay juu,kumbe niko sawa tulisoma wote , hongera sana Francia na nashukuru pia kunifahimsha juu yake mdau hapo.
ReplyDeleteMi nilinunua sikua nimeangalia hiyo category. Ila nilisikiliza preview na nikazipenda nyimbo zote. Kwa huku Uk ni £3.95. Very nice songs hongera dada
ReplyDelete