Hapa ni kwenye kijiwe cha cha kuosha magari Wizara ya Afya opposite na International House nimekuta waya za umeme zikiwa chini na vijana wakipiga kazi kama kawaida cha kushangaza Tanesco hawaoni hili jambo na eneo lenyewe ni karibu kabisa na Jumba jeupe.Mdau Michael
Sent from my BlackBerry®
smartphone from Vodacom


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...